Hapo ndio unaona busara ya kuoa mwananmke mwenye busara na si mwanamke wa kukutana nae kwenye location,mwanamke mwenye busara angemshauri mume wake kujenga nyumba yao wenyewe au kupanga nyumba ya bei nafuu ili wajibane nao wajenge ya kwao,hiyo kazi ya uigizaji haina uhakika wa kipato cha wakati wote,mara nyingi kupenda ufahari mwishowake huishia pabaya,na hayo ndio yanawapata hata weusi wa Marekani ambaowakipata pesa hukimbilia mambo ya sifa,walikuwepo akina MC Hummer,Evander,Tyson n.k sembuse hawa wasanii wetu na hii hela ya madafu ,pia usisahau na koo zetu zinazotaka msaadakila leo,vikao vya harusi,wapambe,maake washwahili huthamanisha kwanza mjengo na lifestyle unayoishi hapo ndio kila mtu anataka umtatulie shida zake,hata hivyo maisha ni mafupi lakini matamu waache wapate cha kusimulia siku za mbeleni.