kichwakipana
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 206
- 45
Wamepanga nyumba nzuri sawa.... Mbona gari mbaya ivo? Kama chuma chakavu au tax za dodoma mweee
tax za Dodoma duh......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepanga nyumba nzuri sawa.... Mbona gari mbaya ivo? Kama chuma chakavu au tax za dodoma mweee
Nakuambia uwoya kazeeka jamani!!!wakati alikua talk of the town enzi zile...nasikia alikua anafundishwa na masogange upunda
macho yote ya kushoto,jamaa anajua mpira kwa sababu anawaadaa sana makipa na yale macho yake kipa anadhani jamaa anaangalia kulia kumbe anaangalia kushoto unashangaa kaishakufunga goli hahahahahHhhhhaaaaa et utatamani umzabe vibao na macho yao yale yanafanana,bina niliona video et wanasema ni ya Ngwea kapasuliwa katikati mbavu zimeachanishwa,halaf utumbo wanatoa kete za madawa ya kulevya ee niliogopa bina zile kete unameza au? ?halaf watu wengi humo chumbani sijui kwanini,halaf inaruhusiwa jaman kumsambaza marehemu akifanyiwa vile tena uchii lo