Picha: H. Baba, Florah ndani ya mjengo mpya

Picha: H. Baba, Florah ndani ya mjengo mpya

Nakuambia uwoya kazeeka jamani!!!wakati alikua talk of the town enzi zile...nasikia alikua anafundishwa na masogange upunda

Alitaka awe punda kaona umalaya kafanya, katobolewa mbele na nyuma ila bado maisha magumu, chezeya wanaume wa bongo weye, sasa iv kapangiwa nyumba mbezi ya kimara, ni nzur kiasi ndo kakituliza kinembe chake apo, ila kafulia huyo matumaini ana nafuu, maana siku izi ata timbulo hamtak uwoya, chezeya kufulia
 
ushauri unatakiwa jamani kwa wasanii wetu
 
Hhhhhaaaaa et utatamani umzabe vibao na macho yao yale yanafanana,bina niliona video et wanasema ni ya Ngwea kapasuliwa katikati mbavu zimeachanishwa,halaf utumbo wanatoa kete za madawa ya kulevya ee niliogopa bina zile kete unameza au? ?halaf watu wengi humo chumbani sijui kwanini,halaf inaruhusiwa jaman kumsambaza marehemu akifanyiwa vile tena uchii lo
macho yote ya kushoto,jamaa anajua mpira kwa sababu anawaadaa sana makipa na yale macho yake kipa anadhani jamaa anaangalia kulia kumbe anaangalia kushoto unashangaa kaishakufunga goli hahahahah
 
hizo pesa za kupangia nyumba kama hiyo bora wangejengea nyumba yao binafsi hata kama ni ya kawaida..
 
iwinWOg.png
 
Waacheni wasanii wa watu wapo location wanarekodi movie inaitwa KULA UJANA KUFA KWAJA.
 
Hapo ndio unaona busara ya kuoa mwananmke mwenye busara na si mwanamke wa kukutana nae kwenye location,mwanamke mwenye busara angemshauri mume wake kujenga nyumba yao wenyewe au kupanga nyumba ya bei nafuu ili wajibane nao wajenge ya kwao,hiyo kazi ya uigizaji haina uhakika wa kipato cha wakati wote,mara nyingi kupenda ufahari mwishowake huishia pabaya,na hayo ndio yanawapata hata weusi wa Marekani ambaowakipata pesa hukimbilia mambo ya sifa,walikuwepo akina MC Hummer,Evander,Tyson n.k sembuse hawa wasanii wetu na hii hela ya madafu ,pia usisahau na koo zetu zinazotaka msaadakila leo,vikao vya harusi,wapambe,maake washwahili huthamanisha kwanza mjengo na lifestyle unayoishi hapo ndio kila mtu anataka umtatulie shida zake,hata hivyo maisha ni mafupi lakini matamu waache wapate cha kusimulia siku za mbeleni.
 
Wapo huru ila mwenye nyumba akija kudai kodi hawata kuwa huru
 
Back
Top Bottom