Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Eeeh nasikia kitambo sana. Ila si Kazaa na mtu mwingine? Niko hoves

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Haha..mjini Kuna Mambo jamani,kazaa na yule sijui yogo beats ndo tumeona!!![emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ila manara Kiboko muambie besti Yako mwaka huu amejua kuua bendi jamani!!
 
Eheee labda ni type nyingine
Hakina type... kisukari ni kisukari chomie..
It's the worse disease kwa mwanaume aisee, nikionaga mwanaume in his late 30s na 40s ana uzito uliozidi plus pressure na kisukari naoneaga huruma wake zao tu. 40 ni umri mdogo sana kuanza kutafuta vibomba vya washroom, dildo au kuchepuka.
(Na ni wengi, I used to work kwa hospital set up)
 
Kuna mke mmoja wa Manara alisema hakuna mwanamke atakayeweza kuishi na Manara hata wao walimvumilia yakawashinda sijui jamaa huwa ana shida gani maana kwa umri wake kuhangaika na ndoa inaonyesha kuna kitu hakipo sawa kwake.
Mawifi mnavituko sana
 
Hayo mapenzi itakuwa version mpya hiyo....afungue chuo na hawa mashomvi wengine wakajifunze[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila na yeye wakati anaingia alikuta Wawili washaachwa
 
Ila na yeye wakati anaingia alikuta Wawili washaachwa
Na wale wake nasikia waliomba talaka Kwa pamoja, Manara ndo aliachwaa🤣 Nasikia walisema hamna mwanamke wa kumvumilia Yule bwana
 
Nikizipata namba za yule namba za yule manzi lzm niruke nae Leo nilikuwa mitaa ya coleshamu alikokuwa anafanya Kaz ili nipate nmb zake manara lzm nimchapie demu yule

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hadi bi mkubwa mnataka kupitia nae? Mwenzenu atabaki na Nani🤣🤣🤣
 
Heee mwandende weeeeee uko vyedi aseehh
 
Wanasema alichanganyikiwa acha halafu yule mdogo akaolewa na tajiri wa Kkoo wacha afulie sijui Manara alifanya yake😂
Kwamba Manara alimfanyia mambo ya kitamaduni tajiri wa Kkoo aliyeoa mke wake waliyeachana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…