Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

Kuna mke mmoja wa manara alisema hakuna mwanamke atakayeweza kuishi na manara hata wao walimvumilia yakawashinda sijui jamaa huwa ana shida gani maana kwa umri wake kuhangaika na ndoa inaonyesha kuna kitu hakipo sawa kwake.
Sasa mtu anaoa ili kuwaridhisha jamii, na sio matakwa au kusudio lake, unadhan nn hapo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kasome tena... alafu uje uweke maandishi ambayo hayatoki kichwani kwako bali katika maandiko
 
Batuli unamuona yupo vile vile sababu kavaa heavy make up + kope,

Hamisa kavaa simple make up na ndio hua anapendeza yeye na Lulu bila Makeup vinakua na sura zao za kitoto kuliko wakijikandika yale matope yanawazeesha.
Kwa lulu hata mie sitaki apake make up, yaan anakua vyedi, kuliko akijilipua na madoido sijui anakuaje hata.
 
Dini gani unakusudia inayotaka ridhaa ya mke wa KWANZA?
 

Mbona kama unateseka na maisha binafsi ya mtu? Yaani wewe unajua maisha ya Manara kiasi hicho acha utani na kufatilia maisha ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…