Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike


like like like kike, naomba niongezee hapo sababu moja kubwa na sugu ambayo husababisha wanawake wengi wazae nje ya ndoa, ni umri, jamani, kweli usubiri ujione umegosha miaka 30, hakuna mwanaume aliyeenda kubisha hodi kwenu, ukae tuu?? wengine huamua kuzaa kuondoa upweke hivyo msinawange, no one knows nini nimesababisha.
 
Last edited by a moderator:
Du,nimepitwa mie, jamani haijalishi umezaa ndani ya ndoa au nje ya ndoa, kama Mtoto unaweza kumshuhulikia mwenyewe, sioni tatizo, utasubiri ndoa kama haipo jee, kuna mdada alisema anasubiri kuolewa ndio azae, hakuna aliepita, matokeo yake alimlipa mwanamme kwa kumpa mbegu tu, hivi sasa ana Mtoto, suala la kukosa Mtoto linahuzunisha mno.na bora anaezaa kuliko anaetoa
 

point...
 
Salute kwa kuonyesha malovee kwa my number one wako... ila kuzaa nje ni mkosi na inashusha heshima ya familia, chunguza utagundua asilimia nyingi ya wanawake waliozaa nje maisha yao hayaeweki tofauti na walioolewa

sio kweli binamu, wengi walioolewa wanahudhuria clinic mirembe trust me suluba wanayoipata huko ndani ya ndoa, haielezeki, wengi wao wanafake furaha, wanafake amani, wengi wao wanavumilia ili kutunza heshima, kuogopwa kusemwa kuwa wameshindwa ndoa. si support kuzaa nje ya ndoa lakini kuna inevitable situations ambazo hupelekea mtu kuzaa nje
 
Bora mie nnae huyo huyo ...haramu kwa hao wasio nao kwa MUNGU WANGU NI HALALI make najua ni gift from him wala sio juhudi zangu za kukata kiuno HAPPY ME..wengine wanatafuta hata hao haramu hawawapati

mwanao ni halali na sio haramu usikubali kabisa kumuita mwanao haramu.
 
Hehehe nilijua lazima uje mbio...
Naomba kusamehewa kwa kauli yangu....Peace ru

Kwani wewe ulikuja polepole? Ulikua unaujaribu moto kwa kugusa eeh? Poleeeee.
Next time usiwe unadandia treni kwa mbele, jaribu kumsoma mtu kwanza.
 
Bora mie nnae huyo huyo ...haramu kwa hao wasio nao kwa MUNGU WANGU NI HALALI make najua ni gift from him wala sio juhudi zangu za kukata kiuno HAPPY ME..wengine wanatafuta hata hao haramu hawawapati

hahaaaaaa dah umeua bendi
anti yangu mpk kuasili mtoto anataka kuasili mtoto
hawajui ladha ya kuitwa mama hao
nakumbuka my first born when i was third yr nnlimpigia simu kumuelezea alilia sana ujue akaniambia naomba usitoe mimi ntalea km hutaki kulea we zaa tu
haya leo mtu aje kukashifu binti yangu
and no difference btn huyu wa ndoani na huyo wa chamboni halafu huyu wa AMANA ndo aliniuma uchungu huyooo kuliko wa mwanzo
i love them...!!!
proudly kua mama....!!!
 

mimi nilikua 23 my first born and i don regret that bcoz the guy was very inluv wit me the problem ni kua kuna binti alimdanganya ni mjamzito then alivyoskia na mm nnayo akaenda kujiwahi kwenye familia na ukabila ukaplay part hakunioa na ananipenda
na yule aliyeolewa sasa kutahamaki kazaa mtoto mhindi
ile ndoa ya ba mtoto wangu ni vurugu tupu mpk leo na nisingeolewa angenioa tena yy ht kwa serikali
sijutiii na sitojutaa kuzaa nae kiukweli kabisa
 

hongera mwaya bora hukulia chips yai lako ha ha ha eti wasubiri halali
 

kwahiyo huyo mtoto wa kihindi ndani ya ndoa ya waafrica ndo mtoto halali si ndio ha ha ha halo ya simba mla kitimoto ncheke kama mazuri
 
hongera mwaya bora hukulia chips yai lako ha ha ha eti wasubiri halali


asantee
haaa kwani huyo wa ndoani uchungu wake unakuaje labda hauumi au anatokea puani wajameni
mana mi wote nimewatoa kumoja huyo wa nje na wa ndani sijui wenzangu niwaulize
 
kwahiyo huyo mtoto wa kihindi ndani ya ndoa ya waafrica ndo mtoto halali si ndio ha ha ha halo ya simba mla kitimoto ncheke kama mazuri


best ilikua vurugu tupu na alidanganya mimba ya miezi minne alivyoolewa ss wakaenda kupima ultra sound mimba ya wiki 33 doubt ikaanza.
seriously yule dada alivyojifungua yule mtoto baasa ya kuona ni mhindi alimuua inavyosemekana ndani ya siku saba seriously
na mie nlijifungua trh 5 april yule dada trh 8 april
alikuja analalamika nimezaa mhindi mimi wakati kwetu hakuna ht mkenya
nkamwambia vumilia mi niache kwanza
 

ni wachache wanaoelewa mpenzi, an't you proud of your self now ukimtazama mwanao?? what if ungekaangia chips yao lako, eti kwa kuogopa kusemwa umezaa nje ya ndoa, hiyo dhambi si ingekutafuna maisha. mimi siwezi mnanga mtu aliyezaa nje ya ndoa coz had never been in her shoes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…