Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Naomba leo nilijibu hili kwa mara ya kwanza na ya mwisho....
sidhan kama kuna mwanamke ambae anatamani kuzaa bila kuolewa
mi kama mie nmezaa kabla ya kufunga ndoa SABABU NI...tofauti ya dini zetu mie na baba mtoto wangu maza akatia ngumu so nifanyeje nimuache?kisa dini???BIG NO i love him i love him i love him sana nkaamua kubeba mimba kabisa na sahv bi mkubwa kaelewa somo inshaalah tuombe uzima mtapewa mwaliko....whatever name mwanangu aitwe awe wa pembeni ya ndoa awe wa katikati to hell I JUST LOVE MY SON MNOOOOO
mi nmezaa before ndoa no one ll ask y sijaolewa sasa we olewa afu usizae ujionee maswali yenye SECTION A, B, C, D na E...
CC warumi, geniveros na wengine waliozaa kabla ya ndoa kwa sababu zao maalum
like like like kike, naomba niongezee hapo sababu moja kubwa na sugu ambayo husababisha wanawake wengi wazae nje ya ndoa, ni umri, jamani, kweli usubiri ujione umegosha miaka 30, hakuna mwanaume aliyeenda kubisha hodi kwenu, ukae tuu?? wengine huamua kuzaa kuondoa upweke hivyo msinawange, no one knows nini nimesababisha.
Last edited by a moderator: