Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Picha: Hamissa Mobeto ajifungua mtoto wa kike

Naomba leo nilijibu hili kwa mara ya kwanza na ya mwisho....
sidhan kama kuna mwanamke ambae anatamani kuzaa bila kuolewa
mi kama mie nmezaa kabla ya kufunga ndoa SABABU NI...tofauti ya dini zetu mie na baba mtoto wangu maza akatia ngumu so nifanyeje nimuache?kisa dini???BIG NO i love him i love him i love him sana nkaamua kubeba mimba kabisa na sahv bi mkubwa kaelewa somo inshaalah tuombe uzima mtapewa mwaliko....whatever name mwanangu aitwe awe wa pembeni ya ndoa awe wa katikati to hell I JUST LOVE MY SON MNOOOOO
mi nmezaa before ndoa no one ll ask y sijaolewa sasa we olewa afu usizae ujionee maswali yenye SECTION A, B, C, D na E...
CC warumi, geniveros na wengine waliozaa kabla ya ndoa kwa sababu zao maalum

Salute kwa kuonyesha malovee kwa my number one wako... ila kuzaa nje ni mkosi na inashusha heshima ya familia, chunguza utagundua asilimia nyingi ya wanawake waliozaa nje maisha yao hayaeweki tofauti na walioolewa
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa Evelyn Salt naona umekuja na mihasira kama mbogo aliyejeruhiwa.Hii ni mitazamo tu mama watu hatufanani ila nakuombea kheri inshaallah usinisahau na mie katika mualiko.

wala sina hasira hata chembe ni kuweka clear tu naona mineno.mineno mtoto wa nje wa nje mi huyo nje simjua mwanangu najua no mtoto wa evelyn salt na baba ake asakuta same huyo nje simjui ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Salute kwa kuonyesha malovee kwa my number one wako... ila kuzaa nje ni mkosi na inashusha heshima ya familia, chunguza utagundua asilimia nyingi ya wanawake waliozaa nje maisha yao hayaeweki tofauti na walioolewa

acha uww mkosi nnachojua mie ni FURAHA MAISHANI yani mie kuitwa MAMA uwiiii raha nnayoisikia najua mie
 
Hongera sana hamisa kwa kua mama mtoto ni furaha ya maisha...sir God akukuzie

Kuzaa ata mbwa anazaa, tatizo malezi binamu atayaweza? Maana maisha yake tunayajua fika tofauti na alivyo instagram, namuonea huruma kwa kweli, angetengeneza maisha yake bado mdogo
 
Ha ha ha umaskini mbaya.....yaani ukiwa maskini lazima ujipe vineno vya faraja.We warumi wasema unayajua maisha ya huyo binti fika lakin waswahili tunasema kila mtoto anakuja na bahati yake
 
Last edited by a moderator:
wala sina hasira hata chembe ni kuweka clear tu naona mineno.mineno mtoto wa nje wa nje mi huyo nje simjua mwanangu najua no mtoto wa evelyn salt na baba ake asakuta same huyo nje simjui ha ha ha

Hahahaaa, kazi kwako mama. ...
 
acha uww mkosi nnachojua mie ni FURAHA MAISHANI yani mie kuitwa MAMA uwiiii raha nnayoisikia najua mie

Kuolewa na kuzaa ndani ya ndoa kuna raha zaidi na inaleta heshima kwa familia na jamiii
 
Hongera kuleta kiumbe maana wengine wanaua
Hao wanao mkashifu Zari wanatamani maisha ya Zari yawe yao hawana jipya wala
 
Ooh pole, ila hamisa bado mdogo sana tena mrembo, angetafuta maisha kwanza, maana maisha yake hayaeleweki, yani apo kuolewa labda na huyo baba watoto wake, mmh namuonea huruma, kuzaa kabla ya kutengeneza maisha vzur au kuolewa ni janga

kwahiyo boss wa teampwanya road hajajipanga na maisha mbona hazai???
 
Ha ha ha umaskini mbaya.....yaani ukiwa maskini lazima ujipe vineno vya faraja.We warumi wasema unayajua maisha ya huyo binti fika lakin waswahili tunasema kila mtoto anakuja na bahati yake

Bahati kaipata k -lyn bwana, hao wengine wamezaa na mavuvuzela tu, huyo bwana wa hamisa mchovu kiama
 
Last edited by a moderator:
Naomba leo nilijibu hili kwa mara ya kwanza na ya mwisho....
sidhan kama kuna mwanamke ambae anatamani kuzaa bila kuolewa
mi kama mie nmezaa kabla ya kufunga ndoa SABABU NI...tofauti ya dini zetu mie na baba mtoto wangu maza akatia ngumu so nifanyeje nimuache?kisa dini???BIG NO i love him i love him i love him sana nkaamua kubeba mimba kabisa na sahv bi mkubwa kaelewa somo inshaalah tuombe uzima mtapewa mwaliko....whatever name mwanangu aitwe awe wa pembeni ya ndoa awe wa katikati to hell I JUST LOVE MY SON MNOOOOO
mi nmezaa before ndoa no one ll ask y sijaolewa sasa we olewa afu usizae ujionee maswali yenye SECTION A, B, C, D na E...
CC warumi, geniveros na wengine waliozaa kabla ya ndoa kwa sababu zao maalum

Waona sifa mwenyewe??? Wakati mama yako anakukataza ukamuona bwegee, ilaa ujui maumivu anayoyapataa kwa kichwa chako kigumu.
 
Last edited by a moderator:
he he he warumi ndo nshazaa nshakua mama hiyo heshima ya jamii siihitaji tena mwanangu atosha kuniheshimu ati

Lakini si unataman ungezaa ndani ya ndoa binamu? maisha lakini usijali ndoa kitu gani bana
 
Hapo ndipo napowashangaa binadam, kufurahia kuzaa nje ya ndoa, hata vitabu vya dini haviruhusu lkn kutwaa kuchekeleaa na kuona fahari, kua na mtoto wa haram
Hii teknolojiaa nakuambia itatutoaa kamasii wallahi tena,

Ninyi wenyewe hamtaki kuuoa mnasema km unapata maziwa kiulaini kwanini ufuge ng'ombe?
 
Ninyi wenyewe hamtaki kuuoa mnasema km unapata maziwa kiulaini kwanini ufuge ng'ombe?

Kwa mwanamkee anaejiheshimu, na kukataa viofa vidogo vidogo, vya kipumbavuu naamini kabisa lazima akae chini na mzazi wake hasa wakike wazungumzee, na lazima atapata ushaurii bora kabisa wwnye kumfaa na Kama ni msikivuu lazima ata tii, ila Kama ni penda cha bure, (lunch,lift,poketmoney) lazima wanaumee wakunjueee. Halafuu ndoaa atasikiliziaa kwenye bombaa
 
Waona sifa mwenyewe??? Wakati mama yako anakukataza ukamuona bwegee, ilaa ujui maumivu anayoyapataa kwa kichwa chako kigumu.
Kakuambia ana maumivu???kampoze basi....naona sifa ndio nimefight for my love na nmefanikiwa na mtoto nshamzaa kabisa na anatambulika mjukuu from es una lingine,???
 
Back
Top Bottom