warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #121
Naomba leo nilijibu hili kwa mara ya kwanza na ya mwisho....
sidhan kama kuna mwanamke ambae anatamani kuzaa bila kuolewa
mi kama mie nmezaa kabla ya kufunga ndoa SABABU NI...tofauti ya dini zetu mie na baba mtoto wangu maza akatia ngumu so nifanyeje nimuache?kisa dini???BIG NO i love him i love him i love him sana nkaamua kubeba mimba kabisa na sahv bi mkubwa kaelewa somo inshaalah tuombe uzima mtapewa mwaliko....whatever name mwanangu aitwe awe wa pembeni ya ndoa awe wa katikati to hell I JUST LOVE MY SON MNOOOOO
mi nmezaa before ndoa no one ll ask y sijaolewa sasa we olewa afu usizae ujionee maswali yenye SECTION A, B, C, D na E...
CC warumi, geniveros na wengine waliozaa kabla ya ndoa kwa sababu zao maalum
Salute kwa kuonyesha malovee kwa my number one wako... ila kuzaa nje ni mkosi na inashusha heshima ya familia, chunguza utagundua asilimia nyingi ya wanawake waliozaa nje maisha yao hayaeweki tofauti na walioolewa
Last edited by a moderator: