Picha: Hawa ndio viongozi shupavu ambao Joyce Banda, PAKA na washirika wake M23 hawatokuja kuwasahau kamwe

Soma historia. Walisambaratishwa mwaka 2014, chini ya JK baada ya PAKA kutaka kumletea dharau JK.

Hivyo JK akaamua aichukulie issue ya M23 serious ili kumuonesha PAKA kuwa anaweza. Baada ya JK kumuonesha PAKA kuwa anaweza kwa kuisambaratisha M23. Tukarudisha vijana nyumbani na kuwaachia Congo wenyewe jukumu la kuilinda nchi yao.

M23 Wamejikusanya tena mwaka 2021 Congo ikiwa chini ya raisi mungine Tshesekedi na Tz ikiwa chini ya Samia ambae hili swala anashindwa kulichukulia serious kwa vile Congo na Rwanda zote ni majirani zetu. Kisha hii vita haipiganwi katika ardhi yetu wala mpaka wetu.
Wewe muongo, haikua 2014 ilikua 2013. Haikua Tanzania pekee bali ilikua FARDC, FIB na higyo TanzBATT
 
Soma post namba 18 mkuu. Lakini pia inashangaza wewe unaejifanya unajua kiswahili haujui maana ya neno kusambaratishwa.

Neno kusambaratishwa linamaana ya kusambazwa ambapo kitu kilichosambazwa au kusambaratishwa kinaweza kujikusanya kulingana na mazingira kiliyopo.
Unaweka chumvi nyingi, hao mara zote wanazoibuka huwa wanashindwa kusonga mbele na hurudishwa nyuma (kama hiyo ndio tafsiri ya kusambaratishwa basi wamesambaratishwa Mara nyingi)

Hata sasa hawataweza kutimiza lengo lao, watarudishwa tena nyuma. Pia Tanzania Kama Tanzania haijawahi kupigana na M23 wakiwa peke yao huwa na vikosi vya nchi nyingine, hata sasa wanajeshi wa Tanzania wapo huko wapo na Malawi na South Africa. M23 wakirudishwa nyuma tutasema Tanzania ndio imewarudisha nyuma?
 
Huwa tunajidanganya sana, siasa kwenye kila jambo. TZ haijawahi kupigana Eastern Congo ikiwa peke yake, hivi sasa kuna wanajeshi kibao wa Kibongo lakini kwa kuwa wanapigwa hausikii wakizungumza ngoja wale waasi waelemewe hautasikia wakizungumzia uwepo wa wa askari wa South wala wa Malawi kana kwamba wamepigana Wabongo peke yao.
Bongo movie+ Bongo flavor+ Chawa wa mama ndiyo wakapigane vita, wameshikwa mateka huko kama kuku wenye mdondo lakini serikali imekauka iko kimya. It's about about time na watoto wa viongozi waende front line kama wamejitolea kuwapigania wacheza mayenu, wacheza mayenu wenyewe kupigana hawataki wanaohopa kufa.
 
Tz ni nchi nzuri sana. Mnyarwanda unaandika kila unachojisikia kuhusu jeshi la Tz, lakini mawazo yako yanaheshimiwa.

Ila ungekuwa kwenu Rwanda halaf unaandika ujinga wa kupinga operation zinazoelezea mafanikio ya jeshi la Rwanda au M23. Saa hizi ungekuwa umeshakatwa kichwa mchana kweupe.
 
Bora uzi huu hata wakusifu nchi yetu! Si wale mazwazwa wakufu m23 na Rwanda
Mkuu hao unaoona wanaisifu Rwanda, asilimia 95 ni wanyarwanda waliolowea Tz. Kwa sasa wameshajua kuandika, kusoma na kuongea kiswahili.

Hivyo unaweza kumjua kupitia mambo kama haya. Huwa hawawezi kujificha kuhusu nchi yao.
 
Waende sasa hv m23 kajiimarisha anagawa doz kwa kutumia drone, hadu HIMMARS, JAVELIN anazo sasa nendeni kichwa kichwa mrudishe maiti.

M23 hawacheki na wowote.
Nimesoma mahali fulani kwamba, tatizo la congo ni mishahara duni. Kama tsh 250,000. Nani afe kwa mshahara duni. Na wale mamluki wa kutoka Romania wanalipwa kama tsh 12,000,000 kwa mwezi. Jeshi congo halina hamasa ya vita. Kuhusu drone na javelin na himas unadhani tz hana? Wewe mjaze upepo kagame ajaribu kama hatapokwa na hicho kidogo alichonacho.
 
Huwa tunajidanganya sana, siasa kwenye kila jambo. TZ haijawahi kupigana Eastern Congo ikiwa peke yake, hivi sasa kuna wanajeshi kibao wa Kibongo lakini kwa kuwa wanapigwa hausikii wakizungumza ngoja wale waasi waelemewe hautasikia wakizungumzia uwepo wa wa askari wa South wala wa Malawi kana kwamba wamepigana Wabongo peke yao.
Bongo movie+ Bongo flavor+ Chawa wa mama ndiyo wakapigane vita, wameshikwa mateka huko kama kuku wenye mdondo lakini serikali imekauka iko kimya. It's about about time na watoto wa viongozi waende front line kama wamejitolea kuwapigania wacheza mayenu, wacheza mayenu wenyewe kupigana hawataki wanaohopa kufa.
Bongo tunapendana kusifiana pasipo na sababu. Jeshi linafanya kazi nzuri lakini hii haimaanishi tuwe waongo pia

Anavyoandika ni kama vile ilikua vita ya Tanzania na m23 tu bila kujua hizo mission huwa na mataifa tofauti
 
Pitia huu uzi mkuu utajua tu sababu ya sasa ivi kuwaacha M23 watambe.

Tanzania sio Burundi au Congo ndomaana hakuna muasi anaepata chaka la kujificha kwetu.
Acha hadithi mkuu, u.s.a anashinda vita sababu muda wote yupo kwenye mchakamchaka hapoi na vita, m23 the same muda wote wapo field wanakiwasha, sasa we nenda bila gadi kama hujapigwa KO. Msiwachukulie poa hao jamaa, wao muda wa kuvunja tofali kwa ugoko hawana wao ni vyuma tu.
 
Hivi kweli unaamini jeshi letu limelala usingizi?ukitaka kujua muda wote jeshi letu liko imara nenda kwenye mapori ya mpakani kama Kimisi,biharamuro na kasindaga,unaweza kujua ubutu wa JWTZ kupitia tv na radio huku ukiwa Dar, waulizeni walioko mipakani wawaeleze shughuli za kila siku kwenye mipaka hiyo
 
Kwa hiyo unahisi kuvunja tofali ndio shughuli kuu ya JWTZ?hiyo ni sawa na nguo ilioko mbelle ya duka kwa ajili ya kuvutia wateja,ukiitaji nzuri zaidi zimo ndani ya duka,mbinu,silaha hiyo ni siri ya jeshi sio kila kitu kionyeshwe hadharani, jeshi letu liko imara sana sio kama mnavyodanganyana kuwa ni dhaifu
 
Hivi kweli unaamini jeshi letu limelala usingizi?ukitaka kujua muda wote jeshi letu liko imara nenda kwenye mapori ya mpakani kama Kimisi,biharamuro na kasindaga,unaweza kujua ubutu wa JWTZ kupitia tv na radio huku ukiwa Dar, waulizeni walioko mipakani wawaeleze shughuli za kila siku kwenye mipaka hiyo
Bora wewe umeongea ukweli mkuu. Tatizo PAKA anawalipa vijana wamtetee na kumsifu kama Mungu wao katika mitandao ya kijamii kama hii.
 
Major General Mwakibolwa
Wale M~23 Hawatamsahau Kamwe, Alipiga Mpaka Maji Wakaita Mmaa
Na huyu ndio mabeo alichukua nafasi yake alitakiwe awekuu wa majeshi marehemu akamkaaa kampitisha mabeo..
Naomba niishie hapo
 
Shukran kwa kutujuza swala hili mkuu.
 
Back
Top Bottom