Picha: Hawa ndio viongozi shupavu ambao Joyce Banda, PAKA na washirika wake M23 hawatokuja kuwasahau kamwe

Picha: Hawa ndio viongozi shupavu ambao Joyce Banda, PAKA na washirika wake M23 hawatokuja kuwasahau kamwe

Na huyu ndio mabeo alichukua nafasi yake alitakiwe awekuu wa majeshi marehemu akamkaaa kampitisha mabeo..
Naomba niishie hapo
Sahihi, Alikuwa Achukue Nafasi Ile Baada Ya Kutoka Congo
 
Hivi mtu/ watu wapo kwenye battle field kila siku na umlete apambane mtu/ mjitu ambayo imetoka kunywa ulanzi?
 
Nilikua namkubali mnoo..jasusi yule
Gen Mwamunyange ndio alieliongezea jeshi letu ubora, uwezo wa kijeshi na heshima kupitia operation mbali mbali za jeshi zilizofanyika chini ya uongozi wake.

M23 na wale waliotaka kumpindua Ngurunziza kule Burundi wanamfahamu vizuri alivyotibua mipango yao.
 
Back
Top Bottom