Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Feb 3, 2025 #41 wa stendi said: Na huyu ndio mabeo alichukua nafasi yake alitakiwe awekuu wa majeshi marehemu akamkaaa kampitisha mabeo.. Naomba niishie hapo Click to expand... Sahihi, Alikuwa Achukue Nafasi Ile Baada Ya Kutoka Congo
wa stendi said: Na huyu ndio mabeo alichukua nafasi yake alitakiwe awekuu wa majeshi marehemu akamkaaa kampitisha mabeo.. Naomba niishie hapo Click to expand... Sahihi, Alikuwa Achukue Nafasi Ile Baada Ya Kutoka Congo
Namshakende JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 671 Reaction score 1,644 Feb 3, 2025 #42 Hivi mtu/ watu wapo kwenye battle field kila siku na umlete apambane mtu/ mjitu ambayo imetoka kunywa ulanzi?
Hivi mtu/ watu wapo kwenye battle field kila siku na umlete apambane mtu/ mjitu ambayo imetoka kunywa ulanzi?
6 Pack JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 2,819 Reaction score 5,996 Feb 3, 2025 Thread starter #43 Kennedy said: Sahihi, Alikuwa Achukue Nafasi Ile Baada Ya Kutoka Congo Click to expand... Mwamba alikuwa hodari wa mapambanoni.
Kennedy said: Sahihi, Alikuwa Achukue Nafasi Ile Baada Ya Kutoka Congo Click to expand... Mwamba alikuwa hodari wa mapambanoni.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Feb 3, 2025 #44 Meja jenero mwamuyange alikua na macho mazuri
6 Pack JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 2,819 Reaction score 5,996 Feb 3, 2025 Thread starter #45 Kalpana said: Meja jenero mwamuyange alikua na macho mazuri Click to expand... Jicho kama kala kungu. Ingia sasa 18 zake uuone usoja wake πππ
Kalpana said: Meja jenero mwamuyange alikua na macho mazuri Click to expand... Jicho kama kala kungu. Ingia sasa 18 zake uuone usoja wake πππ
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Feb 3, 2025 #46 6 Pack said: Jicho kama kala kungu. Ingia sasa 18 zake uuone usoja wake πππ Click to expand... Nilikua namkubali mnoo..jasusi yule
6 Pack said: Jicho kama kala kungu. Ingia sasa 18 zake uuone usoja wake πππ Click to expand... Nilikua namkubali mnoo..jasusi yule
6 Pack JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 2,819 Reaction score 5,996 Feb 3, 2025 Thread starter #47 Kalpana said: Nilikua namkubali mnoo..jasusi yule Click to expand... Gen Mwamunyange ndio alieliongezea jeshi letu ubora, uwezo wa kijeshi na heshima kupitia operation mbali mbali za jeshi zilizofanyika chini ya uongozi wake. M23 na wale waliotaka kumpindua Ngurunziza kule Burundi wanamfahamu vizuri alivyotibua mipango yao.
Kalpana said: Nilikua namkubali mnoo..jasusi yule Click to expand... Gen Mwamunyange ndio alieliongezea jeshi letu ubora, uwezo wa kijeshi na heshima kupitia operation mbali mbali za jeshi zilizofanyika chini ya uongozi wake. M23 na wale waliotaka kumpindua Ngurunziza kule Burundi wanamfahamu vizuri alivyotibua mipango yao.