PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa


hapa ni kujiunga rais ajiuzuli, mauaji haya yamezidi
 
Ndugu zangu polisi waombe mungu wasifanye huuu shenzi maeneo nilipo wakaniacha mimi hai.
Watanivusha daraja la hofu na huruma kwa uhai.
Nitakata shauri.
Shauri hilo halitovunjika hadi nife.
nitatumia akili+maarifa yangu kuwaonyesha sura nyingine ya raia.
kwanza ninaanza kwa kuwagonga na magari uchochoroni.
Takbir.
 
unaweza kuwa mjanja sana lakini umesahau kitu kimoja dakika 20 kabla ya kuuawa marehemu alikuwa ana jeans ya blue,alibadilisha saa ngapi akavaa suruali ya khaki?
We chizi ni mmojawao?umeona ile picha ya dk 20 kabla kwenye ile thread nyingine ukaona ni surual ya blue?ilikuwa khaki chizi mkubwa wewe!umetumwa ama na wewe ni mmojawao?
 

Umetoka lini Mirembe mkuu?? umeanza kwa kusema jamaa hana picha, sasa unasema imefyatuka bahati mbaya. ULIKUWEPO? The unatetea eti polisi wametoka Depo juzi, UNAWAJUA? Nahisi una matatizo upstairs!
 
Ilikuwaje marehemu akabadilisha nguo ndani dakika 20 kama mpiga picha wetu anavyojaribu kutuaminisha?
 
Polisi watasema kipande cha chuma cha bomu kimempiga na Kuhusu Wana habari kuandamana nguvu Yao ni ndogo sana kama ma doctor hapa kila mtu ni victim Moro muuza magazeti iringa journal kesho muuza bar mpaka watajiua wenyewe baada ya kutumaliza wote

mbona tayari wamempiga mwenzao risasi wakati wanampiga Mwangosi.
 

sasa wewe unataka kuharibu thread mambo ya imani usilete hapa.
 
...Sijui kama hili litatokea Mkuu. Kikwete ni msanii wa hali ya juu na hana ubavu wa kufanya lolote lile. Siku zote ameweka mbele maslahi ya magamba badala ya yale ya nchi. Nchimbi, Mwema na RPC wa Iringa wote wanatakiwa kujiuzulu mara moja na polisi wote waliohusika na mauaji haya ya kinyama kuwekwa ndani mara moja na kufunguliwa mashtaka ya mauaji.

 
mbona hiyo ipo njiani!! Kuna sehemu nilikaa kama wiki moja katika vijiji flani mkoa mmoja wa kanda ya ziwa vijana walikuwa wanasema wamechoka kuibiwa kura katika uchaguzi,wanasema wakati wa uchaguzi 2010 mbunge waliyemchagua hakutangazwa mshindi badala yake akatangazwa wa ccm chini ya mtutu,kwahiyo wanasema 2015 hali hiyo ikijitokeza tena wataenda kwa wanachama wa CCM nyumba moja baada ya nyingine usiku na kuzichoma moto.mungu atuepushe na hili janga.
 
Huyo jamaa aliyemwelekezea bunduki ndio aliyefyatua nini.!! Duh!!, hawa jamaa sidhani kama ni watanzania.

Halafu ana shape kama ya kisomali hivi, tall and slander! isije kuwa kuna kundi la al shaabab lina operate ndani ya ccm kwa kivuli cha polisi, haonekani baada ya kuua, wamebaki polisi wenye shape za kitanganyika wakimsaidia polisi mwenzao na wengine kama watatu hivi wako pembeni wawili kulia mmoja kushoto wao macho yao na fikra zao ziko kwa marehemu ni huzuni kubwa!!
 
We chizi ni mmojawao?umeona ile picha ya dk 20 kabla kwenye ile thread nyingine ukaona ni surual ya blue?ilikuwa khaki chizi mkubwa wewe!umetumwa ama na wewe ni mmojawao?

ahsante mie chizi na wengine watusaidie mie na uchizi wangu nimeiona jeans ya blue na anaepigwa kikatili ana suruali ya khaki.ngoja nikatibiwe nikirudi niione ya khaki.
 
Kwa hiyo aliyeuwawa sio D mwangosi eti bwana Ngozi mbili ya chui na kondoo?,
 
RIP mwandishi Daud Mwangosi mwaka jana waandishi 106 waliuwawa dunia nzima wakiwa kazini. Pakistan, Iraq na Mexico ziliongoza kila mmoja waandishi 11 waliuwawa. Political unrest ndio chanzo kikuu cha mauaji ya waandishi wa habari. Afrika mwaka jana Libya iliongoza. Tanzania tutaingia kwa mara ya kwanza kwenye hii orodha, sina kumbukumbuku wakati wa vita vya Kagera na vile vya ukombozi. Haijalishi nani amehusika ameuwawa kinyama. Kuna mtu/kikundi cha watu kitalazimika kutoa hesabu ya haya mauaji. Ni suala la muda tu.
 

Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.


Hapo wamemaliza kazi, wanamwondoa mwenzao.

.


...Duh! Maskini ya Mungu!!! Hakutenda kosa lolote lile la kustahili kuuwawa kinyama namna hii!!!
 
Ilikuwaje marehemu akabadilisha nguo ndani dakika 20 kama mpiga picha wetu anavyojaribu kutuaminisha?

wacha chai wewe jinsi alivaa wapi? Wakati picha iliyopigwa 20 mins kabla hawajamlipua alikuwa amevaa suruali ya khaki
 
​
Mwili wa mwanahabari Daud Mwangosi ukiwa chini


Hapa polisi wakiwataka wafuasi wa Chadema kutawanyika eneo la tukio ofisi za Chadema Nyololo Mufindi

Mwili wa mwanahabari Daud Mwangosi ukiwa chini


Daud Mwangosi kulia enzi za uhai dakika 20 kabla ya kuuwawa kwake

Inasikitisha sana km FFU wanatembea na mabomu, RIP Mwangosi waandishi wa habari, Channel 10 na Watanzania

Picha kwa Hisani ya Mpekuzi
 
Kuna siku utalia na kusaga meno. Hii dunia tu kaka fedha, dharau na majigambo kama yako hayatakuwa na nafasi. Itaanza kwenye roho yako ambayo inakusuta kwa kulazimisha vitu wakat ukweli unaujua.
kama anayo yasema anaona ni ya kwel! MUNGU ambarik
 
This is a serious case. The involved should be prosecuted by the law of the land. We can not tolerate such inhuman activities such as evidenced today. Those behind I think should be taken to ICC. I wish Ocampo had seen this.

I believe we have lawyers who fight for injustice such as this in the forum. I pray that at least one lawyer with a burning desire to take this up and do the needful.

Tanzania is our country we all love it but this is not happening on our watch guys.

Something needs to be done. And has to be done quickly before we have ourselves to blame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…