As of now tunataka tamko la CDM la kumtaka RPC kuresign na kufuatiwa na mashitaka juu yake,mtu hawezi kuuliwa tena zaidi sana kuuliwa hvi,we must act now or never,hivi vitu vinaumiza lazima watu wawjibishwe,i am serious ktk hili lazima watu waresign,say it Dr Slaa,hatuwez kuwa kimya kwa hli............God bless Tanzania
.............
Haliwezi poteza credibility mara mbili. Limekwisha poteza yote. Halistahili na limepoteza sifa ya kuitwa jeshi la polisi la TZ. Na liitwe kuanzia leo JESHI LA WAUHAJI LA MAGAMBA.
Naka hawajui, wanazidi kupandikiza chuki kwa jeshi hilo na magamba, 2015 ni mbali sana, we can't wait to see our relatives are killed. Juzi moro, leo Iringa, mwisho wananchi wataamua kulipiza kisasi. Magamba msitupeleke huko!
Sasa tujiulize nia ya serikali ni ipi kwa matukio ya mauaji ya Arusha, Morogoro, Mwanza nk nini hasa tunachokitegemea.Mungu amlaze mahala pema ndugu yetu, mpiganaji mwenzetu Daudi Mwangosi.
Mkuu n00b, kwani ilikuwaje hadi ikafikia hawa jamaa wakamzingira namna hii hayati mwandishi Mwangosi?
Hebu funguka kidogo basi!
Wewe polisi wa MABWEPANDE ninakuuliza swali!! kazi ya polisi ni kulinda mikutano au kuanzisha vurugu!! na kuua. I will tell you plainly YOUR DAYS ARE NUMBERED!! mnapokubali kutumika kama magogo ya msalani it pains na mnaishi kwa kodi zetu.!!Kama viongozi wa CDM wangewaamrisha wafuasi wao wasikusanyike kutokana na amri ya Polisi yote haya yasingetokea, waliamua kupuuzia maana wanajua tukio lo lote ni mtaji kwao (CDM) kama inavyoonekana sasa. Wangefanya hivyo Arusha, Morogoro na kwingineko yote yasingetokea.Mbona sehemu nyingine wamefanya mikutano yao vizuri??
Pamoja na hayo, MUNGU ailaze pema roho ya marehemu. Ameen.
....acheni kuandamana mnasababisha vifo kwa wasiohusika..shame on chadema
n00b, kuna taarifa kwamba marehemu alifanya mahojiano na RPC ili kupata habari kuhusu mikutano ya CDM jana asubuhi na hapa ndipo bifu likaibuka!!.... Hii habari ikoje?