PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa


Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.

Na bila shaka hii picha imepigwa wakati kitendo ndo kinafanyika coz naona moshi moshi na sio vumbi...Hebu angalieni kwa makini hapo...Sasa hapa Polisi watatudanganya kwa lipi!Eeeeh Mwenyezi Mungu umrehemu mja wako kamanda Daudi Mwangosi...R.I.P Kamanda Mwangosi
 
Duh!!! nilikuwa sijasikia Kamuhanda alivyosema!! kwa mtindo huu tumekwisha ndugu yangu.
 
Je hapa hapo wapo CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:flypig::flypig::sleepy::sleepy:
 
Nauliza kwani kulikuwa na vita? Na hapa mbona hata watu hawapo? Na mbona inaonekana kama yeye alikuwa anatafutwa sasa wamempata na baada ya kumpata wanamshughulikia??

Sasa damu hii isiyokuwa na hatia italia ardhini Tanzania tutapata wapi kupona na laana hii.

Viongozi wa dini tusaidieni kulingana na neno la Mungu.
 
"mlipuko uliotoka kusikojulikana"kamanda kamuhanda

Kamanda Kamuhanda aongezewe cheo!! safi sana Mlipuko uliotokea kusikojulikana!!

Itakua mlipuko umetokea mbinguni hii au chini ya ardhi
 
Hii imenitia hasira kwa kweli na kunihuzunisha sana.
Natangaza kuhamia Chadema. Kadi napataje?

Alie serious na jinsi ya kuvaa gwanda ani PM.
 
Ukitulia zaidi utajutia hata post yako ya kwanza.......hujawahi ona waandishi vitani.............(hata CNN/BBC)???????
Hata kama hakuwa na kibali......kuuliwa raia kinyama namna hii unahoji kibali????? Are you up your senses??????

Kimbweka wahed

wewe kirundu... umekaa kaa kishabiki, kwani hapo ni vitani?....
Hujajibu swali kwa nini CDM wanafanya maandamano bila kibali?
Je wangekuwa na kibali haya yangetokea?
Tunalalama baada ya kupata matokeo mabaya ya kutofuta taratibu.....Tujifunze na hili pia..... na siyo kuwa mashabiki tu...
 
watu hawa walaaniwe,yan ndo wamemsambaratisha hivyo! ni wakati sasa kwa wanahabari kuonesha umoja wao na kuacha kuietea hii serikali isiyo jali wananchi wake. R.i.p kamanda wetu.
 
Askari wanatakiwa kuwalinda wananchi na mali zao lkn kwa ss imekuwa tofauti askari wamekuwa wauaji..Inasikitisha sana..
 

Pamoja na ushahidi wote huu wa picha zinazoonyesha polisi wakimshambulia kwa kipigo na hatimaye kumlipua kwa bomu Daudi Mwangosi, lakini bado kuna baadhi ya wakuu wa jeshi la polisi wameuza akili zao na kujaribu kuuhadaa umma na blah blah za kipumbavu kabisa.

Hawa manyang'au wa polisi tukiendelea kuwachekea watatumaliza mmoja baada ya mwingine. Ni muda muafaka sasa wa kusema inatosha, tuchukue hatua za kujihakikishia usalama wetu na mali zetu kwani chini ya hawa manyang'au uhai wetu umewekwa rehani, muda wowote, wakati wowote wakijisikia tu wanaua kadri wanavyotaka.
 

Leo utanipa BAN you lazzy creature

You start by questioning on whether they had a permission to gather and match; but the deceased was a reporter you sloppy head cant even think that we need reports and this is what he was doing........thus was it a war ground???? Silly question; the war zone is even more dangerous but you rarely see this brutality.....leave alone the Nyororo scenario

You gotta be of your age; questioning the obvious points out to the fact that the lobe you are carrying in the skull doesnt work properly.....if it does at all
 
Pole sikuwa namaanisha bangi ila moshi wa mabomu. Hiyo picha yako itakuwa ni diffence ya polisi, marehemu anaonekana kakamata silaha ya askari.
Ecol
angalia vizuri mkuu hakushika silaha alikuwa ameshikilia kamera yaketu
 
Hakuwa hata na silaha ya jadi lakini ametendewa ukatili uliowahi kutokea Rwanda, Burundi na nchi ambazo damu ilimwagika.

Hivi mnataka wafe watu wangapi ili tuseme Tanzania siyo nchi ya amani?

Kitendo kilichofanywa na polisi Iringa kinazidi kuongeza chuki ya wananchi dhidi ya polisi.
 
Its sad! Really sad!
RIP Daud. May your soul rest in eternal peace! Amen.

Hawa jamaa, mtuhumiwa namba moja kamanda wa Polisi wa Mkoa, Mkuu wa upelelezi, na hao vibaraka wao waliowazunguka hapo.

This is an open Murder case. Na wavuliwe kinga ya kushitakiwa Martial Court waletwe mahakama ya kawaida.

How do you justify the use of such excessive and grievous force against unarmed person? Not just unarmed, but a pressman! How dare you attack an individual with such weapons? Is he a terrorist?

My call to Minister of Home Affairs and The IGP, step down immediately!

Jamani, watu wa media, haki za binadamu, wanaharakati tulivalie njuga hili suala, Nchimbi na Mwema waondoke, Kamuhanda na watu wake washitakiwe mahakama ya kiraia kwa kosa la mauji.

I wonder hata rules of engagement hao polisi hawajui...how do u engage unarmed person with such a grievous force?
This is really sad. No matter how they will justify, lets triumph for them brought to black book.

Haiwezekani hata kidogo. This is really sad...wamemsambaratisha kabisaa marehemu... Jamani jamani!

Wasurubiwe hawa jamaa, Mwema, Nchimbi, achieni ofisi, hamtufai!
 

Wewe tukana yooteee mpaka kwa kichina....!!
Ila hekima imekaa kwa mwenye hekima....!!
Usiwe mshabiki tu wa kisiasa, kwani wangekuwa na kibali haya yangetokea?
Ndo maana nakuambia umekaa kishabiki shabiki tu....., kuna mtu alishawahi kutoa mada inayosema tusiwe washabiki hasa kwa wana CDM itatugharimu!! Siyo kila CDM inachofanya ni sahihi......, kuna mahala na chenyewe kina makosa, Sasa hata kama kikifanya kosa tuendelee tu kukitetea ,.... kukosolewa ni lazima!!!!!

" Je wangepata kibali haya yangetokea?....????????????" Hapo ndo hata CCM wanatushinda...
 
Mungu ni wa Rehema sana! Imagine, hata wewe anakurehemu!!!.... I can not be God, nor even for a second!
not smart at all.ndo maana sikumwona kumbe nae alikuwa amevaa magwanda na polisi wana magwanda na cdm wana magwanda.yesu wangu ndo nimeipata picha mungu amlaze mahala pema peponi!
 
very sad aisee! i wish mapinduzi yafanyike hata leo jamani tuitoe ccm madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…