Hapo kwenye red,
Bado tu hupati picha ??
Mikutano iliyozuiliwa ni ya Chadema tu !! Upo hapo ?? au na wewe umenukuu habari hii kwa makosa ??
Jamaa karibu anastaafu, hawezi kuruhusu maandamano kinyume cha "maagizo" yaliyopo !! Maagizo gani ?? Au sensa inawagusa Chadema peke yao ??
Upo hapo ???
Ni kitu kikubwa kilirushwa ??????
kwa unyama huuuuuuu
mkuu sikuwa na nia ya kupotosha ki ukweli sikumwona kwa kuwa alikuwa amevaa magwanda na nyuma yake kulikuwa na jamaa kavaa jeans nikafikiri ndo yeye.mungu ailaze roho yake peponi
Hii imenitia hasira kwa kweli na kunihuzunisha sana.
Natangaza kuhamia Chadema. Kadi napataje?
Alie serious na jinsi ya kuvaa gwanda ani PM.
Ni haki ya raia kupata habari, huyu hakuwa na silaha, alikuwa na kitendea kazi chake. Amekufa akiwa anapigania haki ya mwandishi mwezake ambaye naye ameumizwa (Mwandishi wa Nipashe).
Wanaodhania ni siasa wanachanganya. Wanamaanisha mikutano au mikusanyiko yoyote ya wanasiasa tusifike kuwahabarisha wananchi?
Hivi hapa kuna haja ya kuunda tume, tena tume yenyewe inaundwa na hao hao wauaji? Mimi nasema tume hapana, muuaji anaoneka wazi akitekeleza unyama wake na huku bosi wake (RPC) akisimamia kwa umakini zoezi la kutoa roho ya marehemu Mwangosi. Lakini CCM na serikali yenu dhalimu na ya mababavu mjue haya yana mwisho, na damu ya Mwangosi haitapoptea bure, ukombozi lazima upatikane na mkoloni mweusi CCM lazima atokomezwe.