Unyama huu hauna nafasi ya kuachwa kuwa kama ulivyo, kama issue ni maandamano hapa Watanzanai wana nafasi ya kuonesha kuwa hawaandamani kwa ujinga bali kwa haki iliyonyang'anywa. Picha hizi ni za suspects no.1. Ikiwa hawachukuliwa hatua ni wakati wa kusonga mbele, askari mmoja akianguka kumi wanasimama. Ikiwa wataendelea kuua, ni wakati wa kusonga mbele, ikibidi waagize risasi nyingine maana kila nafsi inayoanguka, kutakuwa na zaidi ya mia zinazochukizwa na kuinuka. Usiposimama na kuonesha ujasiri dhidi ya udhalimu, dhahiri utauwawa ukiwa umejificha. Enough should be enough.