Unajua wanachofanya hapa ni kutaka kuwaondoa watu katika mada ya MAUAJI YA POLISI. Jana zimewekwa picha zote kwa wakati mmoja na kila aliyeona tukio hakuna anayebisha hilo.
Nimesoma gazeti la mwananchi msemaji wa JESHI LA POLISI TANZANIA amekuja na madai ya kipumbavu na kijinga sana. Anasema Mwangos alikuwa anakimbia kutoka kundi la watu kuja kwa askari na kuna kitu kilirushwa kutoka kwa wananchi kikamuangukia tumboni.
Jeshi la Polisi linapoongoza kwa ujinga inatia wasi wasi. Ni ujinga kwasababu Msemaji wa jeshi hakujua kuwa picha zipo katika mtandao tayari. Sijui kama msemaji anajua hata key board ikoje achilia mbali kutafuta habari.
Matokeo ya kuwa na mazuzu kama hawa ni matumizi ya mabomu ya moshi kufumua watu.
Tayari amesha pre-empty uchunguzi wa IGP kwasababu tu idha ya mafunzo kidogo, au uweledi sifuri
Tatizo linalotukabili kama nchi ni ile tabia yetu ya kudhani kuwa ili uwe askari Polisi ni lazima uwe mjinga.
Tunajeshi lisilo na watu wenye uwezo kabisa. Imagine msemaji wa jeshi hajui nini kinaendelea katika nchi, je,askari aliye na risasi anajua kuitumia?
Jeshi la Polisi halina maana ya genge la watu wajinga au wapumbavu, halina maana watu wasiojua mazingira na mawasiliano.Jeshi la Polisi ni taaluma muhimu sana katika jamii kama taaluma zingine.
Kwakweli inauma sana! Niiweni radhi
Ifike wakati tuwe na jeshi la Polisi siyo wapuuzi, wajinga na mazuzu waliovaa uniform na kutoa roho za watu.
Mimi nadhani wanaharakati waache kujifungia maofisini na kumaliza pesa za wafahdhili kwenye posho za semina, waingia mitaani wafanye utafiti wa vitu kama hivi.
Wanasiasa watatudanganya tu, kila mtu atasema lake. Tunataka neutral side itoe taarifa.
Kwa mfano, RPC akisema BOMU, kwanini polisi apige bomu la moto badala ya bomu la machozi?
HIVI HUONI PICHA AMEMUWEKEA HIYO SILAHA YA MABOMU TUMBONI?NA NDIYO MAANA ILIMPASUA VIPANDE NA IKAMJERUHI HUYO ASKARI ALIYEKUWA JUU YAKE NI WAZI HILO NI BOMU
Tangu lini bomu likatumika kuua mtu uliyemshika? wewe mwenyewe utapona vipi?
HATUNA UJUZI WA SILAHA LAKINI BOMU LA MACHOZI NI BOMU NA LINAMOTO HATA LIKIPIGWA LUPATE WW LITAKUUA NA HUYU UTAONA JINSI ALIVYOWEKA HIYO SILAHA,BOMU LA MACHOZI SIYO KAMA YALE YA MBAGALA YA VITA YAKUGEUZA ARDHI KWA HILI LA MACHOZI INAWEZEKANA HIVYO ILIVYOTOKEA USIFANANISHE NA YALE YA MBAGALA KUNA MABOMU YA KUTUPA KWA MKONO,YA KUTEGWA NA KAMA HILO YOTE MILIPUKO YAKE NI TOFAUTI KATIKA MAGNITUDE USIKARIRI
Kwa kuzingatia maelezo hayo ya ushuhuda tukio la kwenye picha hii lilitokea wakati gani?
Mbona inaonekana kuna wakati RPC alikuwa anaongea na watu na marehemu anatabasamu huku akifanya kazi yake kwa amani?
ILITUKIO LILITOKEA KIJIJI CHA KWANZA KABLA YA KWENDA KIJIJI CHA PILI AMBAPO MAUAJI NDIYO YALTOKEA,HAPA NDIYO KULIKUWA NA MJADALA BAADA YA CHEDEMA KUELEZA KWAMBA WAO WANAFUNGUA MATAWI NA KUFANYA VIKAO VYA NDANI WAANDISHI WA HABARI NDIYO WAKATAKA MAELEZO KUTOKA KWA POLISI KWANN WANAZUIA HIYO SHUGHULI WAKATI SIYO MAANDAMANO WALA MIKUTANO YA HADHARA,BAADA YA KUELEWANA NDIYO MSAFARA UKAELEKEA KIJIJI KINACHOFATA UKIONGOZWA NA MTUHUMIWA NA 2 WA MAUUAJI RPC
Haya maswali yasijibiwe na wanasiasa, yajibiwe na watu ambao uhai wa mtanzania ndio priority yao, unfortunately wanasiasa wameshindwa kufit kwenye kundi hilo.
View attachment 63724
Wana JF,
Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.
Nina picha ambazo zimechukuliwa zinazoonyesha walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hata RPC alikuwepo eneo la tukio.
Mods, naomba msiunganishe thread yangu plz.
Picha nyingine nimezituma kwa watetezi wa haki za binadamu na video nimeziweka YouTube (sitatoa link kwa sasa).
Wanahabari, ni wakati wa kuonyesha umoja wetu dhidi ya udhalimu huu.
-----
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio
Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.
Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
mkuu hii ndio tatizo la akili ndogo kutawala akili kubwa.
Nape mbona hajatoa tamko?
Dah!,moyo unauzuni kiasi cha kufa R.I.P ndugu yetu,damu yako tutaienzi daima ktk kutafuta ukombozi
hivi ulimsikia mandishi aliyeojiwa na itv? anasema wakati marehemu anapigwa rpc alikuwa kwenye gari
maelezo ya mwandishi aliyeahuhudia tukio hili yanasema yeye ndiye aliyomba msaada kwa RPC na sio marehemu.
Je huyo alionyeshwa kwenye picha ni RPC?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANI
Hakuna ukweli wowote kuhusu kuchakachuliwa picha. Hii Picha ni ya ukweli kabisa huyo RPC asitake kukimbia kivuli chake kuhusiana na mauaji ya kinyama ambayo alishiriki.
Tusha washtukia ccm!mna taka kubadili ukweli ila msha chelewa sanaaa!nyambavv!
Alie nyoosha fimbo juu ni ocd nae amejeruhiwa kidogo mapajani.
Wewe na huyo dereva mmeshanunuliwa na wauaji, so mnataka kubadili ukweli.....? Kwani dereva ni nani hasa mpaka tuamini anachokisema na tukatae tunachokiona kwa macho?
Unajua wanachofanya hapa ni kutaka kuwaondoa watu katika mada ya MAUAJI YA POLISI. Jana zimewekwa picha zote kwa wakati mmoja na kila aliyeona tukio hakuna anayebisha hilo.
Nimesoma gazeti la mwananchi msemaji wa JESHI LA POLISI TANZANIA amekuja na madai ya kipumbavu na kijinga sana. Anasema Mwangos alikuwa anakimbia kutoka kundi la watu kuja kwa askari na kuna kitu kilirushwa kutoka kwa wananchi kikamuangukia tumboni.
Jeshi la Polisi linapoongoza kwa ujinga inatia wasi wasi. Ni ujinga kwasababu Msemaji wa jeshi hakujua kuwa picha zipo katika mtandao tayari. Sijui kama msemaji anajua hata key board ikoje achilia mbali kutafuta habari.
Matokeo ya kuwa na mazuzu kama hawa ni matumizi ya mabomu ya moshi kufumua watu.
Tayari amesha pre-empty uchunguzi wa IGP kwasababu tu idha ya mafunzo kidogo, au uweledi sifuri
Tatizo linalotukabili kama nchi ni ile tabia yetu ya kudhani kuwa ili uwe askari Polisi ni lazima uwe mjinga.
Tunajeshi lisilo na watu wenye uwezo kabisa. Imagine msemaji wa jeshi hajui nini kinaendelea katika nchi, je,askari aliye na risasi anajua kuitumia?
Jeshi la Polisi halina maana ya genge la watu wajinga au wapumbavu, halina maana watu wasiojua mazingira na mawasiliano.Jeshi la Polisi ni taaluma muhimu sana katika jamii kama taaluma zingine.
Kwakweli inauma sana! Niiweni radhi
Ifike wakati tuwe na jeshi la Polisi siyo wapuuzi, wajinga na mazuzu waliovaa uniform na kutoa roho za watu.
Unajua wanachofanya hapa ni kutaka kuwaondoa watu katika mada ya MAUAJI YA POLISI. Jana zimewekwa picha zote kwa wakati mmoja na kila aliyeona tukio hakuna anayebisha hilo.
Nimesoma gazeti la mwananchi msemaji wa JESHI LA POLISI TANZANIA amekuja na madai ya kipumbavu na kijinga sana. Anasema Mwangos alikuwa anakimbia kutoka kundi la watu kuja kwa askari na kuna kitu kilirushwa kutoka kwa wananchi kikamuangukia tumboni.
Jeshi la Polisi linapoongoza kwa ujinga inatia wasi wasi. Ni ujinga kwasababu Msemaji wa jeshi hakujua kuwa picha zipo katika mtandao tayari. Sijui kama msemaji anajua hata key board ikoje achilia mbali kutafuta habari.
Matokeo ya kuwa na mazuzu kama hawa ni matumizi ya mabomu ya moshi kufumua watu.
Tayari amesha pre-empty uchunguzi wa IGP kwasababu tu idha ya mafunzo kidogo, au uweledi sifuri
Tatizo linalotukabili kama nchi ni ile tabia yetu ya kudhani kuwa ili uwe askari Polisi ni lazima uwe mjinga.
Tunajeshi lisilo na watu wenye uwezo kabisa. Imagine msemaji wa jeshi hajui nini kinaendelea katika nchi, je,askari aliye na risasi anajua kuitumia?
Jeshi la Polisi halina maana ya genge la watu wajinga au wapumbavu, halina maana watu wasiojua mazingira na mawasiliano.Jeshi la Polisi ni taaluma muhimu sana katika jamii kama taaluma zingine.
Kwakweli inauma sana! Niiweni radhi
Ifike wakati tuwe na jeshi la Polisi siyo wapuuzi, wajinga na mazuzu waliovaa uniform na kutoa roho za watu.
Sidhani kama kweli huyu askari uliyemtaja ndiye mhusika, naangalia silaha aliyoshika mkononi si ya moto, inaitwa pump action risasi zake ni zampira, na hutumiwa na askari wa ffu kwa kutawanya watu, aidha madhara yake ni kujeruhi tu, other wise labda kamahuyu askari alitumia gun nyingine