PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

I think you mean they simply DISPERSE Mr. DAVID. OK, wait until you get dispersed too!.
 
Lengo kubwa kabisa la jeshi la polisi sio tu Tanzania bali dunia nzima limekuwa ni kulinga usalama wa raia na mali zao. Naamini hili ndilo lengo kuu pia la jeshi letu la polisi mpaka leo hii (Kama halijabadilishwa bado)

Lakini katika siku za hivi karibuni jeshi hili limekuwa ndilo chanzo cha kupoteza uhai na mali za raia ambao kimsingi wanatakiwa wawalinde. Sitaki kutaja vifo vyote vilivyowahi kutokea na kuwahusisha polisi moja kwa moja lakini tukio la juzi limenifanya nianze kujiuliza kama ni kweli bado jeshi la polisi lina jukumu lile lile la msingi la kulinda usalama wa raia na mali zao!

Lakini nabaki na maswali mengi bila majibu
Kwanini polisi wamegeuka kuwa wauaji wakubwa na mara zote hujaribu kuwasukumia wengine makosa yao?
Nani anawatuma hawa polisi kufanya mauaji haya?
Kwanini wanaofanya hivyo hawachukuliwi hatua?
Au kuna watu wako juu ya sheria?

POLISI why?
 
Kwa kosa lolote waliloona hawa askari hawakupaswa kumlipua Daud na bomu!! Tunaomba huyu askari aliyehusika ashitakiwe kwa kosa la makusudi !!!
 
Samahani nimemwaga chozi japo umri wangu ni mkubwa! Huwezi amini kama hii ni Tanzania!
 
 
Kwa kosa lolote waliloona hawa askari hawakupaswa kumlipua Daud na bomu!! Tunaomba huyu askari aliyehusika ashitakiwe kwa kosa la makusudi !!!

Nenda kafanye fujo halafu askari wakianza kutuliza fujo, wewe wakimbilie kutoka kwenye fujo uwafate wao halafu ukamvae mkubwa wao, ndio utapojuwa nini kinapaswa kufanyika.
 
yana mwisho haya we acha tu lakini huyo mwangosi angekuwa ni ndu yangu ningemtamuta huyo jamaa kwa mbinu zote hata kwa uchawi na ikibidi hata hadharani ningemshindilia bisu wallah tena hastahili kuishi askari huyu.naapa tena mwangosi angekuwa ndugu yangu huyu askari asingechukua hata wiki.
 
senge sana hili jamaa we ona jamaa macho yake'we uliona wapi askari ana sura ya kijambazi halafu na tumbo lake kama mimba ya tembo imekosea njia ikamwingia.
 
Huyo aliyetajwa kama RPC ambaye Mwanaume Mwangosi amemshikilia ukweli siyo RPC ni askari aliyejeruhiwa vibaya na bomu hilo. RPC alikuwa kwenye Shangingi. Nadhani kwenye hili swala tuache siasa kabisa. Jamaa kauwa kwa uwazi lakini tusiweke chuki za ajabu humu ili hao ambao wameanza kusema uchakachuaji wasipate pa kukatiza. Tusifanye kama Renatusi Mutabuzi alivyoongopea umma wakati akiriport matukio ya saa ITV kwa kusema kuwa Mwangosi alikua umbali wa mita mia na bomu limemkuta akifanya shughuli zake ilihali jamaa alikuwa anapigwa sana na askari na hata bomu limepigwa akiwa amemshikilia askari aliyekuwa anasema huyu ni mwandishi na ukiangalia picha ameshika fimbo akiwatuliza wenzie na ikionesha wazi kicheo ni mkubwa kuliko askari wengine.
 
yana mwisho haya we acha tu lakini huyo mwangosi angekuwa ni ndu yangu ningemtamuta huyo jamaa kwa mbinu zote hata kwa uchawi na ikibidi hata hadharani ningemshindilia bisu wallah tena hastahili kuishi askari huyu.naapa tena mwangosi angekuwa ndugu yangu huyu askari asingechukua hata wiki.
 
hii ni ngumu kuamini kama nchi yetu imefikia hatua hii. Mungu atuepushia mbali na mabalaa haya, haiwezekani mwili wa binadamu ukafumuliwa kiasi hiki?
 
Mbona umesahau kuweka picha ya Slaa , kwakuwa yeye ndio muanzilishi wa uhuni huu kwa kukaidi amri ya serikali. tuwekee na ya Slaa tafadhali.
 
Inauma sana, pole sana wafiwa khasa mkewe na watoto wake na wazazi pia.
 
Mbona umesahau kuweka picha ya Slaa , kwakuwa yeye ndio muanzilishi wa uhuni huu kwa kukaidi amri ya serikali. tuwekee na ya Slaa tafadhali.
Je Bilal alifanya mkutano mkubwa wa uzinduzi siku hiyohiyo alikaidi amri ya nani?
 
Je Bilal alifanya mkutano mkubwa wa uzinduzi siku hiyohiyo alikaidi amri ya nani?

Naamini ulikuwa mkutano wa amani, serikali inapowaambia watu acheni kitu fulani, kama kiongozi anajali maisha ya wafuasi wake, alitakiwa asitishe ikizingatiwa kuwa kuna matukio mengi ya aina ile yalokwisha kutokea, kinachosikitisha mbona wenyewe hatusikii wakiumia au kuuawa? wale ni mbuzi wa haramu? a.ka BANGUSILO? Slaa aache upuuzi wake huu wa kutafuta umaarufu kwa kutumia maisha ya watu ! tena mara moja ! au damu ya hao watu wanauawa itamrudia yeye na KIZAZI CHAKE !
 
What kind of sicko would write something like this?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…