PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

attachment.php


Kana kwamba jambo lilikusudiwa, na mtazamo wao kwa tukio ni kama wanaashiria wamefanikiwa kumtoa adui wao mkubwa, macho yao yanatoa tafusiri ya wazi mno.

Hao askari wawili wamechanganyikiwa!
 
Mimi i don't know, watanzania tutakuwa waoga mpaka lini? Watanzania tunapaswa kuchukua hatua dhidi ya uonevu wa raia unaofanywa na polisi. Haki zetu za msingi ziko wapi? mbona tunakubali kunyanyaswa katika nchi yetu wenyewe?

Bob Marley -Wake Up! stand Up!, stand Up for your rights and don't give up the fight. Every time the bucket goes to the well, one day the buttom will drop out. Waache waendelee kutuburuza lakini nadhani mwisho wake u karibu.
 
Mie naomba niulize swali moja tu!!!

" KWA NINI CHADEMA WANAFANYA MAANDAMANO PASIPO KIBALI.....? "
we lijitu mwinzio nimetoka kwenye ban juzi tu usiniongezee nyingine swala la hiko kikaratasi unachoita kibali na roho ya mtu wapi na wapi kwani walikuwa wameomba kibali cha uwindaji na wamenyimwa wakaingia polini kama majangili? na uwalipue na rpg umbali wa mita moja? uoni kuwa ni wehu kuchukua roho ya mtu kwa kuwa hana kibali? ili atukubali tunawavutia pumzi kama kuchinja kobe (timing)
 
Wema hawana maisha, kila la heri Mwangosi, umekufa ukijua kilichokuwa kinaendelea
 
Ndugu yangu Nape,
Unapoyaona haya, wajisikiaje?
Nape alishayasema hayo kabla ya tokio la Morogoro. Kumbuka usemi wake wamegundua kwamba Chadema wamepanga kufanya fujo wakati wa mkutano Morogoro. Hapo ina maana CCM ilishaplan kufanyishia thr police alisema hivyo ili umma uamini kuwa CDM ndio wamefanya fujo then mauaji kumbe ni pre-planned by them.
 
Kichosikitisha ni kuwa pamoja na mazingira yote kuonyesha kuwa marehemu alipigwa kwa makusudi na kuuawa na jeshi la polisi bado uongozi wa jeshi la polisi na waziri Nchimbi bado wako kazini tena wakiendelea kutunga uongo kufunika uhalisia wa tukio. Licha ya hayo hata waliokuwepo kwenye tukio hilo hakuna mtu aliyekamatwa ambao ni polisi wenyewe akiwepo kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa ambaye ni muhusika moja kwa moja. Moja ya mbinu za kutaka kuficha ukweli ni kujiundia tume haraka na waziri Nchimbi. This is a joke.
 
Hapa ni lawama na kulaani tu askari policcm lakini we really need to do something ili ikiwezekana kuwe na tangazo la jf, kwenye magazeti au t-shirts au hata banners paandikwe hamasisho watu wote wasome hasa policcm. Who knows huenda wakaacha mabavu.
 
senge sana hili jamaa we ona jamaa macho yake'we uliona wapi askari ana sura ya kijambazi halafu na tumbo lake kama mimba ya tembo imekosea njia ikamwingia.

ona kwanza sura yake ilivyo ya kibandidu utafikiri ni malaika mtoa roho, yaani nikimwangalia napatwa na kichefuchefu
 
attachment.php


Kana kwamba jambo lilikusudiwa, na mtazamo wao kwa tukio nia kama wanaashiria wamefanikiwa kumtoa adui wao mkubwa, macho yao yanatoa tafusiri ya wazi mno.

Inahuzunisha sana, inasikitisha sana, inasononesha sana, inaumiza sana kwa jinsi jeshi la polisi walivyopewa mamlaka ya kuua raia wasio na hatia, mbaya zaidi kumwua mwandishi wa habari aliyekuwa anatekeleza majukumu yake!
sote tumeshuhudia kwenye nchi ambazo zipo kwenye vita kama iran, siria na iraq, uhuru wa waandishi uliheshimika na unaendelea kuheshimika sana!
Kikwete amepoteza total integrity na wananchi!
 
IMG_1875.JPG
577101_377757872294889_183352309_n.jpg
Ushoto Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda KuliaHayati Daud mwangosi
attachment.php
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.

attachment.php

Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio

Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.

attachment.php

Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.

Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.
​
D+4Il9W4+OGVAAAAAElFTkSuQmCC
 
Vielelezo vya picha kutoka eneo la tukio vinaonyesha sura za Polisi waliohusika na mauaji ya mwandishi Daudi Mwangosi huko Nyololo Iringa hata hivyo majina ya wauaji hao hayajapatikana katika Public domain mpaka sasa.

Kwa kuanzia kumtendea haki Bw. Daudi Mwagosi sisi kama wapenda haki tuanze kuwataja kwa majina waliohusika na ambao vielelezo vya picha zilizopo hapa chini vinaonyesha kuhusika kwao kwa namna moja ama Nyingine.



 

Attachments

  • Daudi na Kamhanda[4].jpg
    Daudi na Kamhanda[4].jpg
    75.7 KB · Views: 1,212
Helmet Nyeusi inaonekana kwenye picha ya waliomzunguka Daudi, Je ndio huyu aliyepembeni ya maiti? Ni nani huyu Askari?
 

Attachments

  • criminalpolice[10].jpg
    criminalpolice[10].jpg
    53 KB · Views: 938
Aliyeshika siraha na kumuelekezea Mwandhishi ni nani?
Huyo mwenye Nguo za kiraia na pete mkono wa kushoto aliyeshika Pistol na vidole vikiwa kwenye trigger ni nani?
 
SACP Michael Kamhanda ambaye alikuwa eneo la tukio kama kiongozi wa polisi
 
Mtu mwenye kofia (Barret) aliyekumbatiwa na Daudi ambaye anasemekana kuwa ni mkuu wa kituo cha polici Mafinga na ambaye inasemakana pia kuwa huenda ndio alitoa order ya kuua kwa askari waliokuwa na siraha ni nani kwa jina
 

Attachments

  • Askari majeruhi na maiti.JPG
    Askari majeruhi na maiti.JPG
    176.9 KB · Views: 1,786
Askari watatu wa mwanzo kutoka kulia hao ni akina nani?
 
Kwenye picha hizi mbili who is who?
 

Attachments

  • IMG_1917.JPG
    IMG_1917.JPG
    45 KB · Views: 614
Back
Top Bottom