Makyomwango
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 322
- 80
Kana kwamba jambo lilikusudiwa, na mtazamo wao kwa tukio ni kama wanaashiria wamefanikiwa kumtoa adui wao mkubwa, macho yao yanatoa tafusiri ya wazi mno.
we lijitu mwinzio nimetoka kwenye ban juzi tu usiniongezee nyingine swala la hiko kikaratasi unachoita kibali na roho ya mtu wapi na wapi kwani walikuwa wameomba kibali cha uwindaji na wamenyimwa wakaingia polini kama majangili? na uwalipue na rpg umbali wa mita moja? uoni kuwa ni wehu kuchukua roho ya mtu kwa kuwa hana kibali? ili atukubali tunawavutia pumzi kama kuchinja kobe (timing)Mie naomba niulize swali moja tu!!!
" KWA NINI CHADEMA WANAFANYA MAANDAMANO PASIPO KIBALI.....? "
EE MUNGU WANGU msamehe huyu maana hajui alitendalo, kama mimi nilivyomsamehe na kumuombea kwakoUchochezi tu hamna hoja nyie
Nape alishayasema hayo kabla ya tokio la Morogoro. Kumbuka usemi wake wamegundua kwamba Chadema wamepanga kufanya fujo wakati wa mkutano Morogoro. Hapo ina maana CCM ilishaplan kufanyishia thr police alisema hivyo ili umma uamini kuwa CDM ndio wamefanya fujo then mauaji kumbe ni pre-planned by them.Ndugu yangu Nape,
Unapoyaona haya, wajisikiaje?
senge sana hili jamaa we ona jamaa macho yake'we uliona wapi askari ana sura ya kijambazi halafu na tumbo lake kama mimba ya tembo imekosea njia ikamwingia.
Kana kwamba jambo lilikusudiwa, na mtazamo wao kwa tukio nia kama wanaashiria wamefanikiwa kumtoa adui wao mkubwa, macho yao yanatoa tafusiri ya wazi mno.
Ushoto Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda KuliaHayati Daud mwangosi
Huyu askari alimwelekezea mtutu tumboni na kumsambaratisha marehemu. Ni wazi watu wa Iringa wanamfahamu askari huyu.
Pembeni ni shangingi la RPC, askari huyu naye kashuhudia kitendo hiki cha kikatili. Wanahabari tushirikiane kupiga kelele. Hapa walikuwa wamemaliza unyama wao wakimwondoa mwenzao aliyeumia eneo la tukio
Maiti ilisambaratishwa kabisa utumbo, si uungwana kuweka picha kama hizo hapa.
Kama ni kesi, askari huyu anaweza kuhojiwa. Nimekata picha kusitiri mwili wa marehemu.
Marehemu kafa akipigania haki za wanahabari, ni wakati wa wanahabari kushirikiana vinginevyo wanasiasa wataendelea kutumia vibaya vyombo vya dola dhidi yetu.