PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

Serikali lazima ijisafishe kihalali kwa kutenda haki kwa hili isifanye utoto wa kufunikafunika mambo kwa ushabiki wa chama. Kwani Polisi wana chama? Hata kama mimi ningekuwa kiongozi wa serikali leo, ningetangaza kuchukuliwa hatua za kinidhamu askari aliyehusika na viongozi wake, kwakuwa hali inaonyesha kuwepo kwa kila dalili za askari wadogo kutokutiii amri halali iliyokuwa ikitolewa na kamanda wao akionyesha kama anazuia kuendlea kusulubiwa kwa raia aliyekuwa amemshika "akimsihi??". Na pia uchunguzi ufanyike kama kijana huyu aliwahi kutumia silaha kama hii na kama anajua ukimlenga mtu inaleta madhara gani? Yaonekana hakuwa ana uzoefu wakuitumia, au alidhani akifanya hivyo atasifiwa. Kwa serikali hili ni doa na yeyote anaehusika achukuliwe hatua za kinidhamu hata kama ni za kijeshi, kuiweka serikali pasafi. Tukio hili linatia doa kabisa ubora na kiwango chetu cha utkelezaji wa Haki za Binadamu tena kwa nchi ambayo inaonekana kuwa na amani kama Tanzania.

Jeshi la polisi hata kama ni la kuzuia ghasia lisipokuwa na nidhamu ni tatizo kubwa.
 
tunamshukuru aliyetuma picha za matukio mapema kabla wanoko hawajajua, mana zisingekuwa picha pengine wangesingizia chadema wameua. kwa sasa haiwezekani kwani wahusika wauaji wanaonekana hadi sura, bado majina tu. naungana nawe kuwa serikali ilipanga kuua, tatizo tu hawakupanga wanauaje. kwa jinsi wanavyoonekana kwenye picha wamemzunguka marehemu haikuwa bahatimbaya kumuua, bali ndiyo azma waliokuwa nayo kwa marehemu huyo.
 

Mkuu wewe ni mtu muhimu ambaye unatakiwa kuwa unatoa updates kile kinaendelea kijijini Nyololo. Mpaka muda huu kuna mwananchi/wananchi wamehojiwa? Ni wale walioshuhudia? Ni wa itikadi gani?
 

Watu wa Nyololo tunawategemea, nyie ndio mashahidi wa haki ambao ukweli unawatambua.

Mfano, hlo la kupigwa risasi sijalikia popote zaidi yako, hakika nyie ndio wajumbe halisi wa ukweli.
JF inawahitaji, na jamii zaidi......
 
Tukishamjua halafu what next?

Tuachie vyombo husika vifanyie kazi hili swala, huko itakuwa kuanzisha ugomvi, fujo, mfarakano baina ya raia na askari.

Next ni kuchoma moto tu.
 
Serikali yetu ipo kwa ajili ya kulinda udhalimu tu.. mpaka leo hao askari wapo huru kweli? Kweli? Kuna haja ya kuunda tume kweli? Picha zinaonesha yote tema kwa usahiii sana.. Hata simulation ya tukio zima ni rahisi kutengeneza..
 

mkuu hebu lekebisha hapo 'aliyejinyonga' badala yake andika 'aliyenyongwa'
 
Hao vinyangarika wote najua mpaka sasa watakuwa wameshahamishwa kutoka kusini na watakuwa wamepandishwa vyeo mikoa ya kaskazini. Mashetwani wauwaji wakubwa. Malipo ni hapa hapa duniani damu ya mtu haimwagiki bure
 
Aliyeshika siraha na kumuelekezea Mwandhishi ni nani?
Huyo mwenye Nguo za kiraia na pete mkono wa kushoto aliyeshika Pistol na vidole vikiwa kwenye trigger ni nani?



Huyu aliyeanzisha hii thread ni nani?


Acha mbwembwe wewe tunataka majina,picha tu hazitusaidiii!!Kama na wewe hauna piga kimya tu maana tume ya uchunguzi ipo kazini na mwandishi wa habari ni miongoni mwa wanatume.
 
Tukishamjua halafu what next?

Tuachie vyombo husika vifanyie kazi hili swala, huko itakuwa kuanzisha ugomvi, fujo, mfarakano baina ya raia na askari.

sasa mpendwa vyombo tunavyoviachia ndo hivyo vimeunda tume ya uchunguzi kwa siku 30
liwalo na bora liwe
kuliko kutengeneza mazngira ya rushwa tu!!

  • :hat:
 
jamani kumbukeni polisi wameapa kwa katiba ya tz, viunöni wamevaa mikanda yenye bendera ya nchi, na damu inamwagika katika ardhi ya nchi angalizo langu hii damu itatulilia sote kama taifa tuwe makini tudai haki ya wliopotea na raisi atubu kwa ajili za ardhi ya nchi na watanzania wote.
 
Huyu aliyeanzisha hii thread ni nani?


Acha mbwembwe wewe tunataka majina,picha tu hazitusaidiii!!Kama na wewe hauna piga kimya tu maana tume ya uchunguzi ipo kazini na mwandishi wa habari ni miongoni mwa wanatume.
Tume ya uchunguzi iliyoundwa na nani? na wajumbe wa tume ni akina nani? wanachunguza kosa lililofanywa na nani? nani mtuhumiwa wa kwanza? Huu uzi umeanzishwa kwa ajili ya kutafuta majina ya watu wote wanaonekana kwenye hizi picha ili tuweze kuwapeleka mbele ya haki iwe Tume au Mahakamani au vipi?
 
Mimi ningekuwa Iringa nikimfahamu askari naanza kumvizia yeye, mke wake, mtoto wake au wazazi wake. Naua mmoja baada ya mwingine silently! Wananchi tukiua Polisi 3 kwa wiki kwa mwezi mmoja it means 12 a month. Lazima serikali ishtuke!
 
mwite IGP Said Mwema atutajie watu wake.
 
Watu wa Nyololo tunawategemea, nyie ndio mashahidi wa haki ambao ukweli unawatambua.

Mfano, hlo la kupigwa risasi sijalikia popote zaidi yako, hakika nyie ndio wajumbe halisi wa ukweli.
JF inawahitaji, na jamii zaidi......

Umeona JG jamaa wa nyololo ni muhimu kutoa ushahidi lakini utashangaa tume haitawafikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…