Ni wazi watataka kupotosha, video ya tukio zima itawekwa YouTube.
Kama waandishi hatutashirikiana katika hili, naachana rasmi na tasnia hii.
Mkuu, maelezo kwenye thread hii yanaweza kukufahamisha ilikuwaje https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...awa-ktk-vurugu-kati-ya-polisi-na-chadema.htmlMkuu n00b, kwani ilikuwaje hadi ikafikia hawa jamaa wakamzingira namna hii hayati mwandishi Mwangosi?
Hebu funguka kidogo basi!
Ni wazi watataka kupotosha, video ya tukio zima itawekwa YouTube.
Kama waandishi hatutashirikiana katika hili, naachana rasmi na tasnia hii.
tutakuwaje wamoja wakati wengine wanavishwa pampers na wengine wanauwawa kikatili?Mkuu wewe kila sehemu mambo ya udini badilika basi vitu vingine vinaitaji kuwa wamoja kutatua matatizo yetu unataka kuwagawa watu kidini kwenye kila jambo hao polisi waliomua Mwandishi unajua dini zao? Badilika basi.
Halafu wataunda tume kuchunguza na CDM watasema hawana imani na tume iundwe tume huru halafu atauawa mwingine!!
Halafu wataunda tume kuchunguza na CDM watasema hawana imani na tume iundwe tume huru halafu atauawa mwingine!!
Nafikiri hiyo ilikuwa bahati mbaya, kwasababu ninavyoone imetokea, hiyo bunduki kwanza si ya risasi, ni ya mabomu ya machozi kwa wale wanaofahamu bunduki watakubaliana na mimi...
Hilo bomu la machozi wakati mwingine huwa linalipuka vibaya, na nionavyo mwili wa marehemu hapo umesambaratishwa kama na utumbo unaonekana na kuna askari mmoja kwenye hizo picha amedondoka chini kama askari wenzie wanamsaidia vile...
Hebu angalia vizuri..inaonyesha ni kama hapo ilo bomu limefyatuka kwa bahati mbaya likajeruhi marehemu na askari....ni maoni tu lakini....na hawa polisi wetu ambao wametoka depo juzi tu hawa hawajui hata madhara ya hizi vitu.
Picha inazungumza zaidi kuliko maneno.
bro, hizo silaha wengine tulishawahi kuzishika na kutuliza gasia kama kawa,..hivyo ninachoongea nakijua...mimi actually sijapendezwa na kitendo hicho cha kiuaji, ila siamini kama walifanya kwa kukusudia....this isn't murder, na kuua bila kukusudia/manslaughter.