PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje?
Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe?
Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani..
Mabus yanafanana na ndege vioo havifunguki wabongo wataweza?