Picha: Haya mabasi ya kisasa yanatufanya tuwe wastaarabu sana

Picha: Haya mabasi ya kisasa yanatufanya tuwe wastaarabu sana

Sheria za Tanroads zinafanya haya magari yasinunuliwe na transporers kirahisi, katarama kajitoa muhanga tu, Ilasi alilazimika kukata marcopolo mpya ili akidhi matakwa ya Tanroads. Nilipanda hii basi mwaka 2013, Harare, jo burg, ambayo ni by far more comfy kushinda hizi 2024 katarama.
Nadhani hii ni I8 lazima iwe next level!!
Katarama ni I6 smaller and less comfy than hilo dude ulilopanda...
 
Back
Top Bottom