PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
AhahahahaaaAmbao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje?
Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe?
Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani..
Mabus yanafanana na ndege vioo havifunguki wabongo wataweza?View attachment 3121572
hili gari nililipanda wiki iliyopita aisee wazungu wanafaidi sana.. ni kweli michina iliyotanzania ni usafiri wa kimasikini sanaAmbao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje?
Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe?
Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani..
Mabus yanafanana na ndege vioo havifunguki wabongo wataweza?View attachment 3121572
Abiria wa humu ni wasomiDuh itakuaje asa.. au wanauza ndani?
Hii si inaenda Mwanza hii?Abiria wa humu ni wasomi
Mwanza hiyoooo mkuuHii si inaenda Mwanza hii?
abiria wengi ni wahaya walio enda shule, niwastaarabu sanaAbiria wa humu ni wasomi
bus linaanza safari saa mbili usiku linafika saa 11 alfajiri hao wauza mayai wanatoka wapi? pili sio kweli kuwa madirisha ni sealed nenda shekilango kalitizame physically, ni bure hawatakulipisha piga selfie kabisa.Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje?
Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe?
Au abiria wa haya mabus ni wastaarabu ambao wanapaki supermarket kununua mahitaji ya njiani..
Mabus yanafanana na ndege vioo havifunguki wabongo wataweza?View attachment 3121572
MTU kama huyo Bora akae SITI ya dirishani ili asikusumbue maana kama utakaa dirishani atakusimbua Hadi mtagombanaKuna watu wanakula kama mchwa,,,, safari ya masaa 7 au 8 njian anakula zaidi ya Mara tatu, atanunua soda/juice, mayai, biscuits , mahindi na hotelini atakula tena ,,,, ! Binafs sipendi sana vyakula vya kununua tu njian,,,, maji au soda tu inatosha !
Sheria za Tanroads zinafanya haya magari yasinunuliwe na transporers kirahisi, katarama kajitoa muhanga tu, Ilasi alilazimika kukata marcopolo mpya ili akidhi matakwa ya Tanroads. Nilipanda hii basi mwaka 2013, Harare, jo burg, ambayo ni by far more comfy kushinda hizi 2024 katarama.hili gari nililipanda wiki iliyopita aisee wazungu wanafaidi sana.. ni kweli michina iliyotanzania ni usafiri wa kimasikini sana
Saa mbili usiku hadi saa 11 alfajiri Dar - Mwanza?bus linaanza safari saa mbili usiku linafika saa 11 alfajiri hao wauza mayai wanatoka wapi? pili sio kweli kuwa madirisha ni sealed nenda shekilango kalitizame physically, ni bure hawatakulipisha piga selfie kabisa.
ni kweli tabia za abiria zimebadilika mambo ya kununua mihogo ya kuchemsha imebaki stand ya geita, katoro na kazuramimba, hata pale mombo lile pagale la makuti halipo tena kuna kitu cha maana
Hahahaha π π π πSaa mbili usiku hadi saa 11 alfajiri Dar - Mwanza?