Picha: Haya ni mazingira ya Kilimanjaro | mikoa mingine tunaombeni picha za makwenu

Hawa na tugari twao twa million 2 wanatulingishia sisi wazee wa flying [emoji574]....
 
Ethnic bragging+Ethnic Superiority complex=Ethnic Cleansing
Mara nyingi wanaobragg kuhusu ukuu wa makabila yao ni wakibosho wanasahau hakuna kabila moja hivi linaloitwa wachagga wako divisive Sana Kuna Wakibosho, Machame, Wauru Wamarangu, Warombo na Wamwika hata lugha hawasikilizani japo wamepishana kwa mito na mifereji tu hawaazimani msamiati wala kitu chochote.
 
Sisi tuliozaliwa kariakoo (Gerezani) tunaruhusiwa kutuma picha?
Na vipi kuhusu sisi wa masaki there there 🤣🤣🤣🤣

Tunaruhusiwa kuBRAG na kutuma mipicha au itaonekana hata ukiishi MASAKI hewa ni ile ile, wote tutakufa tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndio maana mnachukiwa. Mlipopata nafasi mkazitumia kupeleka lami vijijini wakati wengine hawajapata. Unafurahia kuwepo lami utadhani mmejenga kwa pesa yenu.
Aya na ww peleka kwenu kwa sababu huchukiwi
 
Naona umekimbia kwenu umeenda kuoa kwenye jamii unayoiabudu..

What a shame!

It shows how weak your mind is and how weak your decision making is.....

Something strong minded and strong willed men never do....
Takataka kama hao, nyakati kama hizi za Christmas utaikuta station ya train pale imebebeshwa mabegi inapelekwa Moshi 🤣🤣🤣.

Mama yake kijijini hata kumtumia MIA ya sikukuu haina.
 
Acha blah blah weka picha za kwenu tuone
Unaleta siasa tena

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Naona umekimbia kwenu umeenda kuoa kwenye jamii unayoiabudu..

What a shame!

It shows how weak your mind is and how weak your decision making is.....

Something strong minded and strong willed men never do....
Ni wengi tu ambao hawajaoa makabila au mikoa waliyotoka. Hatufungamani na ukabila wala ukanda. Na siyo kuabudu bali ni kuheshimu. Wachagga waheshimiwe tu. Aliyeanza kaanza tu na wengine tumefuata. Tatizo hatukubali ukweli ila tumebaki kuwapiga vita kila eneo. Hamtawaweza wachagga walishatupita mbali mno.

Mimi nilipenda kama wapendavyo wanaume bila hata kuuliza kabila wala mkoa. Ukabila na mkoa vinakuja baada ya kupenda. Na Mimi nimejifunza mengi mazuri kwao wachagga nikaongezea na yangu na maisha mazuri ninayo Mimi na ndugu zangu wote.

KIFUPI kwetu mpaka majirani ZANGU wameoa uchagani na Mimi ndiyo nilifungua njia. Wanawake hard worker wenye brain na upendo kwa familia ni nani asiyempenda? Hawana muda wa majungu na kusengenyana kama ilivyo kwa makabila mengi. Wao ni kazi na malezi bora kwa watoto. Acha nijidai wala sijali mtu akininanga maana maisha ni yangu na wachagga wote Mimi ni shemeji zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…