PICHA: Hii biashara ya usafirishaji wahamiaji inafanywa na matajiri wakubwa wenye connection na vigogo

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
10,786
Reaction score
35,916
Kwenye Sector ya usafiri kuna Ma mafia wengi sana. I just saw picha ya gari la mzigo tena loose cargo inasafirisha wahamiaji haramu nikashangaa sana.

Yaani gari ukiona mzigo ni bomba za maji zimewekwa kwa kichanja. Ila ndani kuna chumba raia wamepumzika wanasafiri na maisha yanaendelea.

Sasa ukisikia BEI ya kusafirisha kichwa kimoja ndo utajua kwanini wanene ndo wanapiga hizi kazi. Chuma imekula Raia 62 ndani Yani inakimbizana na uwezo wa Bus kubeba abiria na huwezi hisi.

Aliyegundua hili nafikiri kuna namna anahusika hapa maana huwezi fikiria kwa akili hizi za Kizimkazi festival.

Anyway video ya wasafi iko hapo chini angalie ujionee wenyewe kwa undani zaidi.

 
We nenda na gari paki pale chalinze.....
Ukifatwa na mtu akikuambia kuna Box za kubeba juwa hao ni wahamiaji haramu wanatakiwa kubebwa 😄
Huu mtandao ni mrefu sana mzee unaanzia mbali
Ukiwa ndani mule maporini wana vituo vyao

Ova
 
Hakuna Utajiri lelemama kama vijana wa Bongofleva wanavyodhani.

Hapo atakwamnia Biashara ya Bomba inalipa.😆😆
 
Tanzania hiyo wamejaaliwa akili za uharibifu kama wangezitumia kufanya ubunifu tungekuwa mbali
 
Sura zao kama Alishabaab.......au hawa ndio wanaotuteka? serikli idilinao vizuri watwambie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…