PICHA: Hii biashara ya usafirishaji wahamiaji inafanywa na matajiri wakubwa wenye connection na vigogo

PICHA: Hii biashara ya usafirishaji wahamiaji inafanywa na matajiri wakubwa wenye connection na vigogo

We nenda na gari paki pale chalinze.....
Ukifatwa na mtu akikuambia kuna Box za kubeba juwa hao ni wahamiaji haramu wanatakiwa kubebwa 😄
Huu mtandao ni mrefu sana mzee unaanzia mbali
Ukiwa ndani mule maporini wana vituo vyao

Ova
Kabisa ni mtandao wa kimafia na hapo utakuta tu maboss wamechomana
 
Kwenye Sector ya usafiri kuna Ma mafia wengi sana.

I just saw picha ya gari la mzigo tena loose cargo inasafirisha wahamiaji haramu nikashangaa sana.

Yaani gari ukiona mzigo ni bomba za maji zimewekwa kwa kichanja.

Ila ndani kuna chumba raia wamepumzika wanasafiri na maisha yanaendelea.

Sasa ukisikia BEI ya kusafirisha kichwa kimoja ndo utajua kwanini wanene ndo wanapiga hizi kazi.

Chuma imekula raia 62 ndani Yani inakimbizana na uwezo wa Bus kubeba abiria na huwezi hisi.

Aliyegundua hili nafikiri kuna namna anahusika hapa maana huwezi fikiria kwa akili hizi za Kizimkazi festival.

Anyway video ya wasafi iko hapo chini angalie ujionee wenyewe kwa undani zaidi.

View attachment 3077758View attachment 3077759View attachment 3077760
Aisee,maisha haya 🙌
 
We nenda na gari paki pale chalinze.....
Ukifatwa na mtu akikuambia kuna Box za kubeba juwa hao ni wahamiaji haramu wanatakiwa kubebwa 😄
Huu mtandao ni mrefu sanamzee unaanzia mbali
Ukiwa ndani mule maporini wana vituo vyao

Ova
Ila bongo wanakamata sana. Hao wakishavuka bongo huko kwingine wanapita tu hadi kufika South. Lakini wahamiaji nao wangetumia hayo mamilioni kufanya shughuli zao huko kwao. Na pia wangeweza kupita tu kihalali. Nawakubali sana waburundi. Wao hupita kihalali hadi SA
 
We nenda na gari paki pale chalinze.....
Ukifatwa na mtu akikuambia kuna Box za kubeba juwa hao ni wahamiaji haramu wanatakiwa kubebwa 😄
Huu mtandao ni mrefu sana mzee unaanzia mbali
Ukiwa ndani mule maporini wana vituo vyao

Ova
mabasi yanakula ruaha mbuyuni, mitaa ya iyovi nako kuna chimba dawa na chakula Kwa matraveller na huezi kujua, lakini hela Kwa hao jamaa ipo watu wa namanga, kyela, tunduma wanapiga hizo mishe sana
 
Ila bongo wanakamata sana. Hao wakishavuka bongo huko kwingine wanapita tu hadi kufika South. Lakini wahamiaji nao wangetumia hayo mamilioni kufanya shughuli zao huko kwao. Na pia wangeweza kupita tu kihalali. Nawakubali sana waburundi. Wao hupita kihalali hadi SA
Ethiopia kuna tatizo kubwa kuliko letu kwenye utoaji passport

Raia wa Ethiopia kupata passport ni kama kwenda mbinguni ndio maana wengi wako tayari kutafuta fursa nje ya nchi lakini serikali haiwapi passport

Hela si unaona wanazo wangesafiri hata kwa ndege au basi comfortably na bila ku risk maisha yao

Ethiopia ajira hamna halafu na wananchi wakitaka passport huwapi ndio wanaamua kusafiri kwa taabu hivyo bila passport na risk kubwa na gharama ya fedha kubwa kuliko wangesafiri kawaida

Ethiopia hawana huruma na raia wake
Uchoyo wa kutoa passport unaumiza watoto watu wanaotaka kutafuta maisha nje
 
Back
Top Bottom