Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Hapo wamechomeana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TuKwenye Sector ya usafiri kuna Ma mafia wengi sana. I just saw picha ya gari la mzigo tena loose cargo inasafirisha wahamiaji haramu nikashangaa sana.
Yaani gari ukiona mzigo ni bomba za maji zimewekwa kwa kichanja. Ila ndani kuna chumba raia wamepumzika wanasafiri na maisha yanaendelea.
Sasa ukisikia BEI ya kusafirisha kichwa kimoja ndo utajua kwanini wanene ndo wanapiga hizi kazi. Chuma imekula Raia 62 ndani Yani inakimbizana na uwezo wa Bus kubeba abiria na huwezi hisi.
Aliyegundua hili nafikiri kuna namna anahusika hapa maana huwezi fikiria kwa akili hizi za Kizimkazi festival.
Anyway video ya wasafi iko hapo chini angalie ujionee wenyewe kwa undani zaidi.
hivi najiuliza kwa nini waitwe wahamiaji halamu? Kwani huko kwao hawawezi kutengeneze vibari vya kusafiria wakasafiri kwa amani? Na kwa nini iwe watu Somalia,Eritria na Ethiopia,na wanasafiri kwa nauli kubwa, Imegina watu wanakodi Landcruse V8Kwenye Sector ya usafiri kuna Ma mafia wengi sana. I just saw picha ya gari la mzigo tena loose cargo inasafirisha wahamiaji haramu nikashangaa sana.
Yaani gari ukiona mzigo ni bomba za maji zimewekwa kwa kichanja. Ila ndani kuna chumba raia wamepumzika wanasafiri na maisha yanaendelea.
Sasa ukisikia BEI ya kusafirisha kichwa kimoja ndo utajua kwanini wanene ndo wanapiga hizi kazi. Chuma imekula Raia 62 ndani Yani inakimbizana na uwezo wa Bus kubeba abiria na huwezi hisi.
Aliyegundua hili nafikiri kuna namna anahusika hapa maana huwezi fikiria kwa akili hizi za Kizimkazi festival.
Anyway video ya wasafi iko hapo chini angalie ujionee wenyewe kwa undani zaidi.
Ni sahihi...!Miaka ya 90 huko wakati unavuka bida zetu uhamiaji tz ukikutana nao walikuwa na hizo sana wanataka kukudundisha boda bila sababu yoyote zaidi ya roho mbaya,ndiyo ikaja watu kuvuka kwa kubinjuka
Ova
We hupendi kuwa tajiri?Asilimia kubwa ya matajiri utajiri wao wanaupata Kwa njia haramu kama ivyo Kuna makafara drug and human trafficking
Hao hawana mpango na bongo, hao safari yao ni South Africa, ila hii ndio njia yao. Bongo yenyewe njaa tupu wakae wafanye nnSasa hawa wahamiaji Haram wakiingia nchini wanakua Na kazi gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna Utajiri lelemama kama vijana wa Bongofleva wanavyodhani.
Hapo atakwamnia Biashara ya Bomba inalipa.[emoji38][emoji38]
Unadhani wajinga hao..wameshajaribu kila namna huko hapawezekaniki ndio maana wameona bora wafie njia kuliko kubaki makwao..Ila bongo wanakamata sana. Hao wakishavuka bongo huko kwingine wanapita tu hadi kufika South. Lakini wahamiaji nao wangetumia hayo mamilioni kufanya shughuli zao huko kwao. Na pia wangeweza kupita tu kihalali. Nawakubali sana waburundi. Wao hupita kihalali hadi SA
Kwelii kabisaaa.Hivi kwani mhamiaji haramu mmoja akiamua kusafiri mwenyewe mbona sio rahisi kukamatwa
Arusha kuna makampuni ya kusafirisha wahamiaji sio kwamba wanaenda kukodi V8 ili iwasafirishe.. kuanzia Kenya Hadi TANZANIA kuna maagenti Hadi wanaingia south Africahivi najiuliza kwa nini waitwe wahamiaji halamu? Kwani huko kwao hawawezi kutengeneze vibari vya kusafiria wakasafiri kwa amani? Na kwa nini iwe watu Somalia,Eritria na Ethiopia,na wanasafiri kwa nauli kubwa, Imegina watu wanakodi Landcruse V8
Mshahara miaka mitano 😳Hao jamaa basi Wana hela🙌Waethopia ni wepesi kuwadaka na kuwafanyia show off sababu ya ukata, ila siyo wasomali. Wasomali ndio wanapita wengi kuliko, tena wanasafiri comfortably ukiwashtukia wanakushikisha mshahara wako wa miaka mitano. Kuna ambao siyo lazima wafike SA kama akina flan.