Picha hii ilipigwa 1950 mjini Zanzibar

Picha hii ilipigwa 1950 mjini Zanzibar

Waasia wengi babu zao waliingia na idea za biashara. Waliuza meno ya tembo, madini na ngozi za wanyama na waliingiza sukari, nguo, mchele, unga wa ngano, sabuni na mafuta yote.
Ndiyo kawaida ya binadamu ukiwa mgeni sehemu fulani unajitahidi kujikomboa kiuchumi. Utafanya kazi yoyote alimradi mkono uende kinywani. Hii ni tafauti na wenyeji wa eneo husika utakuta wametulia na maisha wala hawaoni fursa zilizoko.
 
yaani waswahili wameteswa na hawa masultan balaa, lakini hadi leo wanawwaabudu. embu cheki huyo hapo nyuma alivyochokaa ila anaona fresh tu kwasababu yupo karibu na mwarabu.

kitu kingine nimejifunza juzi ni kwamba, kumbe Wajerumani walikinunuaga kisiwa cha mafia kikawa mali ya Germany East AFrica, kwahiyo ule uozo mjinga mmoja wa zenji alikuja kusema mafia ni zanzibar, asifikiri kila kisiwa bahari ya hidi ni cha zanzibar, kama vipi hata madagascar ni zanzibar.
Hizo chuki zako na roho yako mbaya ndiyo maana hupati maendeleo. Ati mtu anaona fresh kwa sababu yuko karibu na mwarabu, mawazo gani hayo?
 
Ukiingalia hii picha vizuri ndivyo unavyopata kuujua ukweli.... Wale waliokuwa wanasema wakaazi wa Zanzibar kipindi hicho walikuwa wakiteswa na kufanywa watumwa hapo katika hiyo picha tunajionea mtu mweusi tena akiwa huru kabisa!
Huoni mtu yuko peku wakati wengine wana viatu?
 
Aseee mtu anatembea barabaran peku lakin anaonekana amevaa nguo nzima kabisa hazina hata kiraka? Hiyo ni umaskini au kutokujua umuhimu wa viatu?
Enzi zile hakukuonekana umuhimu wa kuvaa viatu na siyo kwamba baadhi walikuwa hawana fedha.

Sijui kama umemuwahi Bi Kidude, s iku moja alipokuwa anahojiwa kwenye radio na tv alikuwa akisema hakuzowea kuvaa viatu vilikuwa vinampunguzia spidi ya kutembea.
 
waliwatengeneza pia waarabu weusi wengi kweli, hao kina Faiza fox wanaosumbua jf. hao huwaambii kitu, yupo tayari kumtumikia mwarabu kwa chochote alimradi tu anakula chapati na kalumati,
Alafu bibi sijamuona kitamboo hivi yupo au kanogewa na visheti na halua huko alipo?
 
Ukiingalia hii picha vizuri ndivyo unavyopata kuujua ukweli.... Wale waliokuwa wanasema wakaazi wa Zanzibar kipindi hicho walikuwa wakiteswa na kufanywa watumwa hapo katika hiyo picha tunajionea mtu mweusi tena akiwa huru kabisa!
Acha ujinga aisee kwa kapicha hako,unajuje kwamba hakukuwa na mateso?unajua jina la huyo jamaa mweusi?alikuwa anaenda wapi?anatoka wapi?anafanya kazi gani?
 
Ukiingalia hii picha vizuri ndivyo unavyopata kuujua ukweli.... Wale waliokuwa wanasema wakaazi wa Zanzibar kipindi hicho walikuwa wakiteswa na kufanywa watumwa hapo katika hiyo picha tunajionea mtu mweusi tena akiwa huru kabisa!
Waonekana vipindi vya historia yetu TZ mashuleni ulikuwa hufuatilii. Labda hata kwenda library kuisoma nq hata kwenda Makumbusho ya taifa ilikuwa hamna. Ingia google type, Zanzibar history labda waweza pata hata brief history ya huko, tafadhali.
 
Waafrika wote kwenye hii picha inaonekana ni watu hohehahe hao waasia inaoneka wana nafuu ya kiuchumi na imekuwa hivyo mpaka sasa kwa tanzania waafrika (weusi) ni wa mwisho kiuchumi lakini afrika magharibi matajiri wengi ni weusi kwa mfano Nigeria top 5 hakuna mtu wa asia angalau ghana kidooogo ndo wapo waasia wachache top 5 !!!
Maishani hii kanuni inafanya kazi..ili ufanikiwe katika jambo lolote , unaihitaji mtandao... Wageni huwa wana mtandao wa huko wanakotoka na ndani ya nchi.... Wametapakaa kote.... Wewe mweusi ukiibuka unahitaji mtandao , ndipo uweze kufanikiwa... Kuna makabila fulani hapa TZ, wana mitandao, wanasambaa kila mahali.. Ukitazama kwa makini ndio wanaofanikiwa... Endapo huna mtandao kwa kuzaliwa au kabila, unahitaji kuwa kwenye mtandao wa kisasa...Ndio hivyo
 
Nisichofahamu ni kwanini kila ukitajwa utumwa na mwarabu anafuata. Sawa na ugaidi baadae kidogo uislamu unafuata. Bado natafakari vizuri, lakini kwa haraka imenikalia kama propaganda za watu wa upande fulani ivi.
 
Back
Top Bottom