PICHA: Hili jengo linalojengwa Kariakoo kwa PPP ni balaa ni zaidi ya Mlimani City unaambiwa Serikali itajizolea zaidi ya TZS 2.5bn kila mwaka

Hongera sana Rais SAMIA
 
Pesa zote ni za mwekezaji, serikali katoa kiwanja tu hapo na analipwa. 2.5bn kwa mwaka, hahusiki na chochote kingine. Unadhani mwekezaji anagenerate faida gani? Na hayo mapato ya serikali ni nje ya kodi zitazotozwa hapo.

Tusome na tuache kupayuka
 
Baada ya muda wa mkataba kuisha..litakuwa jengo la Serikali . Muandishi kanjanja wa kusifu na kuabudu akashindwa kuuliza swali jepesi kabisa HUO MUDA WA MKATABA NI MUDA GANI!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…