CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #161
Nachukua mawazo yako ndg yanguAsante kwa taarifa.
Lakini ukiweza utafute huo mkataba ujiridhise!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachukua mawazo yako ndg yanguAsante kwa taarifa.
Lakini ukiweza utafute huo mkataba ujiridhise!
Hongera sana Rais SAMIA
Hatimaye PPP ya David Kafulila iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria namba 103 ya mwaka 2010 ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2014, 2018 na 2023 imeanza kuzaa matunda chanya kwa Watanzania hasa baada ya kuanza kutumika kwa marekebisho mapya ya ya mwaka 2023 ya Sheria hiyo.
PPP kwa kumtumia mbia mzawa toka kampuni ya Tosh Logistics Limited wanajenga jengo kubwa huenda ikawa ni zaidi ya lile la Mlimani City kwa gharama ya TZS 36.7bn wakati matumizi yatagharimu kiasi cha TZS 13.3bn litakalokuwa na wapangaji zaidi ya 900 lenye ghorofa 10 kwenda juu.
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP-Centre Bw. David Kafulila ameiambia kamati ya Bunge ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuwa Dar es Salaam City Council's Economic and Development Corporation (DDC) katika wakati wote wa Ujenzi wa mradi huo kila mwaka watajizolea kiasi cha TZS 2 bilioni na baada ya mradi huo kukamilika watalipwa kiasi cha TZS 2.5 bilioni kama kodi ya jengo tu bila kuhesabu kodi za TRA pamoja na shuru zingine mbalimbali lakini kubwa zaidi baada ya muda wa mkataba kuisha jengo hilo litakuwa ni mali halali ya serikali ya Tanzania.
Mkurugenzi huyo ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa Ujenzi wa mradi huo ni miongoni mwamiradi yenye mikataba bora zaidi ya uwekezaji na Ubia kuwahi kushuhudiwa hapa kwenye ardhi ya Tanzania.
Mkurugenzi huyo ameishukuru na kuipongeza kamati hiyo ya Bunge kwa kutembelea mradi huo wa Ubia huku akiomba ushirikiano zaidi kati ya TAMISEMI na PPP ili kwa pamoja waweze kuvuta mitaji toka sekta binafsi ili kujenga miradi yenye tija na thamani halisi ya fedha kwa manufaa ya Taifa kwani miradi hii itaipatia Serikali Kodi pamoja na tozo mbalimbali na hivyo kuchochea ukuaji wa Uchumi endelevu huku Serikali ikiachwa ifanye miradi ile tu ambayo haina sura ya kibiashara na hivyo kuipa nafuu zaidi Serikali katika kutafuta Mikopo na misaada mbalimbali toka kwa wahisani na mashirika mbalimbali nje na ndani ya nchi.
Pesa zote ni za mwekezaji, serikali katoa kiwanja tu hapo na analipwa. 2.5bn kwa mwaka, hahusiki na chochote kingine. Unadhani mwekezaji anagenerate faida gani? Na hayo mapato ya serikali ni nje ya kodi zitazotozwa hapo.Kwa akili yako kiasi gani kinapaswa kulipwa? Hata mimi naona ni ndogo ukizingatia jengo litakuwa na wapangaji 900! Kwa K/koo unit ya biashara si chini ya Tshs 1,000,000 kwa mwezi! Hili jengo lingepaswa litengeneze Tshs 900,000,000 kwa mwezi na si chini ya Tasha 10 bln kwa mwaka
Kwani Kwa Sasa hilo eneo linaingiza kiasi gani?Pesa zote ni za mwekezaji, serikali katoa kiwanja tu hapo na analipwa. 2.5bn kwa mwaka, hahusiki na chochote kingine. Unadhani mwekezaji anagenerate faida gani? Na hayo mapato ya serikali ni nje ya kodi zitazotozwa hapo.
Tusome na tuache kupayuka
Kabla ya huo uwekezaji wanaokota kiasi gani!? Kazi kupinga kila kitu!Kariakoo unaokota b2.5 kwa mwaka hailipi.
kabla ya uwekezaji walikuwa wanakusanya milion 100 kwa mwaka, hukuona aibu!? Ni tabia ya kichawi kupinga kila kitu!2 bilion..naona aibu
Kabla ya mradi wa PPP mlikuwa mnakusanya kiasi gani? Kwanini tusimsifie aliyefanikisha kuongeza makusanyo kupitia PPP? Unaumizwa na nini!?Unafurahia majengo yanayoingiza 2.5B pekee kwa mwaka. Are you serious? Huyo Kafulia huko PPP anafanya kazi mwenyewe?
Huyo ni mbia kaamua kuwekeza hapo, unataka wamlazimishe akawekeze sehemu ambayo anaona hatarudisha mtaji wake na faida!? Tumia akili ya kawaida tu.Nia aibu serikali kushobokea Kariakoo soko kongwe badala ya kwenda kufungua masoko mapya kwa upande mwengine.
Hakuna mbia hapo ni sinema tu 😂Huyo ni mbia kaamua kuwekeza hapo, unataka wamlazimishe akawekeze sehemu ambayo anaona hatarudisha mtaji wake na faida!? Tumia akili ya kawaida tu.
Swali la msingi sanaKabla ya huo uwekezaji wanaokota kiasi gani!? Kazi kupinga kila kitu!
CCM hawana akili mkuu2.5bn kwa mwaka bado ni pesa dogo kwa Kariakoo mzalendo Kafulila anasemaje
Mkuu, weka picha basi daah...Shopperz Plaza ni Scansca
Njia Panda ya Salasala ni Mayfair 😀
Mbona hata wewe ni CCM!!CCM hawana akili mkuu
Wewe Mzee hebu njoo inboxNjoo Salasala uione Mayfair Plaza
Mji umeshahama 😂😂😂😂😂
RIP Lau Mafuru
Baada ya muda wa mkataba kuisha..litakuwa jengo la Serikali . Muandishi kanjanja wa kusifu na kuabudu akashindwa kuuliza swali jepesi kabisa HUO MUDA WA MKATABA NI MUDA GANI!!?
Hatimaye PPP ya David Kafulila iliyoanzishwa kwa mujibu wa sheria namba 103 ya mwaka 2010 ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2014, 2018 na 2023 imeanza kuzaa matunda chanya kwa Watanzania hasa baada ya kuanza kutumika kwa marekebisho mapya ya ya mwaka 2023 ya Sheria hiyo.
PPP kwa kumtumia mbia mzawa toka kampuni ya Tosh Logistics Limited wanajenga jengo kubwa huenda ikawa ni zaidi ya lile la Mlimani City kwa gharama ya TZS 36.7bn wakati matumizi yatagharimu kiasi cha TZS 13.3bn litakalokuwa na wapangaji zaidi ya 900 lenye ghorofa 10 kwenda juu.
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP-Centre Bw. David Kafulila ameiambia kamati ya Bunge ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuwa Dar es Salaam City Council's Economic and Development Corporation (DDC) katika wakati wote wa Ujenzi wa mradi huo kila mwaka watajizolea kiasi cha TZS 2 bilioni na baada ya mradi huo kukamilika watalipwa kiasi cha TZS 2.5 bilioni kama kodi ya jengo tu bila kuhesabu kodi za TRA pamoja na shuru zingine mbalimbali lakini kubwa zaidi baada ya muda wa mkataba kuisha jengo hilo litakuwa ni mali halali ya serikali ya Tanzania.
Mkurugenzi huyo ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa Ujenzi wa mradi huo ni miongoni mwamiradi yenye mikataba bora zaidi ya uwekezaji na Ubia kuwahi kushuhudiwa hapa kwenye ardhi ya Tanzania.
Mkurugenzi huyo ameishukuru na kuipongeza kamati hiyo ya Bunge kwa kutembelea mradi huo wa Ubia huku akiomba ushirikiano zaidi kati ya TAMISEMI na PPP ili kwa pamoja waweze kuvuta mitaji toka sekta binafsi ili kujenga miradi yenye tija na thamani halisi ya fedha kwa manufaa ya Taifa kwani miradi hii itaipatia Serikali Kodi pamoja na tozo mbalimbali na hivyo kuchochea ukuaji wa Uchumi endelevu huku Serikali ikiachwa ifanye miradi ile tu ambayo haina sura ya kibiashara na hivyo kuipa nafuu zaidi Serikali katika kutafuta Mikopo na misaada mbalimbali toka kwa wahisani na mashirika mbalimbali nje na ndani ya nchi.
MATUMIZI au sio! Kafulila zake ngapi hapo kwenye MATUMIZI!36.7bn hiyo nyingine ni matumizi
Sio kwa sababu hawakuwa wanaokota basi ndio iwe tiketi ya malipo hafifu, hii ni serikali mkuu na inafanya hivyo kwa maslahi ya wananchi.Kabla ya huo uwekezaji wanaokota kiasi gani!? Kazi kupinga kila kitu!
Unawaza kila mtu ni mla rushwa kama Wewe?MATUMIZI au sio! Kafulila zake ngapi hapo kwenye MATUMIZI!
Kwanini hawana akili?CCM hawana akili mkuu