Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo yanaanzia kwenye kuamini Kuna Mungu muumbaKwamba kuna siku ya kiyama, siku ya ufufuo na kuzimu na peponi.
Siku hizi ukiwa na kipato hao Viongozi wa Dini watakuja kama wote kukusomea Dua.Ila Dua za kukuombea maghfira zinasaidia pia,rejea surat tawba '...umuombee Dua au usimuombee Dua, hata ukimuombea Dua Mara 70,mwenyezi Mungu hatomsamehe,hakika yeye alimkataa mwenyezi Mungu na mtume wake..' sikumbuki Aya ipo kwa wingi au umoja,lakini hapo ni dhahiri kwamba ikiwa mzikwaji alikua mtenda mema na muumini basi kumuombea Dua Kunamsaidia
Hebu soma tena nilichoandika,naona una hamu ya kuandika kilichokujaa moyoni badala ya hoja iliyopo mezaniMadrasa ni sehemu ya kwenda kuwakaririsha Watu na kuwafunza kuwa kumuabudu Mungu ni lazima uongee Kiarabu.
Mungu atuumbe sisi Waafrika halafu tumuabudu Kiarabu Mungu sio Racist.
Au Mungu ni Mwarabu?
Kweli kabisa! Ukifa ata kama Dunia nzima itakusalia- kama wewe mfu uliishi maisha maovu . Sala zao azitakuepusha na MotoNinachojua kuzikwa na kufukiwa kitu ni kile kile.. Masuala ya dua na misa za wafu ni nadharia tu.
Hii ni op,na dini siyo amri kumi tu za kwenye bibliaSiku hizi ukiwa na kipato hao Viongozi wa Dini watakuja kama wote kukusomea Dua.
Ndiyo maana nashauri vyema Kila mtu kuacha dhambi na kufuata Amri 10 za Mungu ambapo ni pamoja na kumpenda jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.
Kupitia Amri hii, nina amini tusingekuwa tunapata Viongozi mafisadi na Wala rushwa kwani Kwa kufanya hayo Kuna Mwananchi angekosa huduma Bora za Afya, Maji, Umeme n.k
Tusingekuwa tuna matukio ya mauaji miongoni mwetu n.k
Tuacheni dhambi na kumrudia Mola
Funzo:
Wazuri hufa pia.
Sawa ila ni vyema kuacha dhambi ili tuweze kuiona PepoHii ni op,na dini siyo amri kumi tu za kwenye biblia
Akili za kitumwa daraja la kwanza. Umewahi kujiuliza kabla ya hao wavaa kobazi au wale wa bwana asifiwe kuja kutubrainwash tulikuwa tukiendesha vp shughuli kama hiziView attachment 2922990
Picha hii.
Kama unaona uislam wako ni daraja l1 badala ya siasa au biashara au cheo chako huu ujumbe muruwa.
View attachment 2922995
Kama watoto wako uliwaekeza ktk international school pekee na sio madrasa imekula kwako maana ya kumaliza kisomo ndio basi hakuna atakaekuombea dua
Kwa uislam mtu hata akiwa mwema vipi,maadam hakuwa muislam basi matendo yake yameanguka patupu,ni sawa na lowasa alivyokua rais wa mioyo ya watu wakati magufuli ndiye alikua rais haswaSawa ila ni vyema kuacha dhambi ili tuweze kuiona Pepo
Huo siyo uoga wa kifoHalafu chuma kikilia hapo ulipo wa kwanza kutoka nduki bila hata kuangalia unakoelekea
Mleta uzi na ugonjwa wa Malaria 2Daah ila watu yaani mnatumia msiba kama fimbo za kuwatishia wengine. Kufa kupo tu karne na karne hakuna funzo hapo mkuu
Ni woga wa nini!?Huo siyo uoga wa kifo
Mambo 3 ambayo muislam akifa yamtasaidiaMkuu, lakini bado hujajibu swali langu?
Kwamba baada ya hapo ndiyo unakuwa huna dhambi?
Wewe mzungu mbona shule unasoma kwa kizungu? Au kwa sababu mabwana zako ndio unaona sawa?Madrasa ni sehemu ya kwenda kuwakaririsha Watu na kuwafunza kuwa kumuabudu Mungu ni lazima uongee Kiarabu.
Mungu atuumbe sisi Waafrika halafu tumuabudu Kiarabu Mungu sio Racist.
Au Mungu ni Mwarabu?
Nasoma mambo ya Sayansi Kizungu na Madrasa zinasomesha mambo ya Mungu Kiarabu je Mungu ni Mwarabu?Wewe mzungu mbona shule unasoma kwa kizungu? Au kwa sababu mabwana zako ndio unaona sawa?
Sayansi za mzungu? Wewe kweli bogas.Nasoma mambo ya Sayansi Kizungu na Madrasa zinasomesha mambo ya Mungu Kiarabu je Mungu ni Mwarabu?
Mungu aliyeniumba mimi MWAFRIKA Mungu huyo anasema nimsome KIARABU wewe huoni TATIZO?
"Na lau kama tungaliifanya Qur-an lugha isiyo ya Kiarabu wangelisema: Kwa nini aya zake hazikupambanuliwa? Lo! Lugha isiyokuwa ya Kiarabu na (Mtume) Mwarabu! (Mambo gani hayo)? " (41:44).Nasoma mambo ya Sayansi Kizungu na Madrasa zinasomesha mambo ya Mungu Kiarabu je Mungu ni Mwarabu?
Mungu aliyeniumba mimi MWAFRIKA Mungu huyo anasema nimsome KIARABU wewe huoni TATIZO?
Sayansi hii ya leo Mzungu ana asilimia kubwa.Sayansi za mzungu? Wewe kweli bogas.
Quran ni Copy paste ya Vitabu vya Kiyahudi halafu Waarabu wakaongezea mambo ya Kizoroastra."Na lau kama tungaliifanya Qur-an lugha isiyo ya Kiarabu wangelisema: Kwa nini aya zake hazikupambanuliwa? Lo! Lugha isiyokuwa ya Kiarabu na (Mtume) Mwarabu! (Mambo gani hayo)? " (41:44).
"Na lau tungaliiteremsha juu ya mmoja wa wasiokuwa Waarabu, na akawasomea (kwa ufasaha) wasingalikuwa wenye kuamini." (26:198-199)