Shida ya third world mpaka Yesu atarudi mara ya pili.Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)View attachment 3148683View attachment 3148684View attachment 3148685View attachment 3148687View attachment 3148688
Hio SGR imejengwa kwa ma trillion, kwani ukiiba mabilioni ndio tiketi ya kuhujumu SGR?Wa kuiba mabilion ndiyo wamestarabika?
This is serious allegations. Jr, give us a hint rather than a proof please.Hii ya kutengeneza kuficha ukweli
. shida ya SGR sio hiyo bali ni ubovu wa engine
RB maana yake nnDuh aiseee
Ila RB zetu kichekesho sana
RB maana yake nn
Mleta mada ni mwongo hiyo RB ni ya mwezi 5/ 2024Hio SGR imejengwa kwa ma trillion, kwani ukiiba mabilioni ndio tiketi ya kuhujumu SGR?
Ithibati zipo za kutosha kabisa.. Mkuu wa nchi alisema waziwazi kwamba wamenunua vichwa used vinavyohitaji matengenezoThis is serious allegations. Jr, give us a hint rather than a proof please.
Imeandikwa mwezi wa 5. Na umeleta hapa ili kutetea uzembe wa shirika la reli lilivyoshindwa kutoa huduma nzuri.Unataka watu waamini kuwa wanahujumiwa wakati wao ndiyo chanzo.08 mtumba /
Nchi ina Watu wajinga sana hii, ama kweli kuna binadamu Bado ni nyani..
Una haribu vipi mali yako
Inatakiwa mfano uoneshwe kwa watu wachache.
Au serikali ipige marufuku vyuma chakavi wakizuia kwa mwaka tu mbona mambo yanakuwa safi
Kingine polisi warekebishe mfumo wa RB uwe nationally kama control number