Pumbavu!Duu π³π³ sasa wanataka nini, watoe order anyekamatwa wakachukue mpaka familia yake wote ndani maana familia zinajua ujinga huo, kama kaoa wakambebe na mkewe na watoto, kama Bado waswage wazazi wake .
Duh, hebu tushushie uzi wa scandal ya Kikwete na gas jinsi tulivyopigwaSasa bro we unashangaa hujuma kiduchu za kuiba copper zinazofanywa na wafanyakazi, choka mbaya! Ili kupunguza ukali wa maisha, unaacha kushangaa wizi, wa kikwete wa gesi yetu, wizi utakaodumu kizazi, na kizazi, pesa anachukua ye ye na familia yake, nchi inakosa mapato,jitu liliba rasilimali yq nchi yote!
Tuje kwenye escrow, meremeta, nk,
Mbona rb ta may wakati picha za hizo nyaya ni za sept?Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)View attachment 3148683View attachment 3148684View attachment 3148685View attachment 3148687View attachment 3148688
Walisahau ku edit tareheπππMbona rb ta may wakati picha za hizo nyaya ni za sept?
Na ulinzi juu. Badala kuhangaika na wanasiasa polisi walinde rasilimali za NchiCamera na taa za solar ziwekwe njia nzima..
Kwenye hivyo vielelezo kuna mtu kaiba uma.Utaua wengi, cha kufanya ni kutoa elimu kwanza kama vile tulivyoambiwa kuhusu katiba.
Kajibuni ajira,katika uchunguzi,itafutwa kama amewahi kufanya kazi ya kumwingizia kipato halali na mazingira yanayo mzunguka,baada ya hapo tusogee hatua ya pili ya kuhujumu.Wanatakaje Hao
Isitembee Ama Nini
Mimi nina silka na hulka simuamini mtanzania yoyote.Nchi ina Watu wajinga sana hii, ama kweli kuna binadamu Bado ni nyani..
Una haribu vipi mali yako
Tukimuua? Mi na nani? Kufa ahadi kwa kila mtuWewe una wivu. Kuwa mzalendo na wewe ili utetewe hata kama umebaki
Mifupa. Sisi ni watatezi orijino wa Dkt Magufuli, tulimsemea yaliyo mema akiwa hai na sasa akiwa mifupa, alikuwa mzalendo na tunampenda! Pole sana kama ulidhani mukimuua eti umaarufu wake utashuka no no he is more relevant and famous kuliko hata alivyokuwa hai.
Wajinga sana hawa yaani wanajiibiaWaweke fensi ya volt 400
Somo la uzalendo ndio tatizo na unafsi uliokisiriNchi ina Watu wajinga sana hii, ama kweli kuna binadamu Bado ni nyani..
Una haribu vipi mali yako
Piga risasi hadharani wote walio shiriki hiyo hujuma!!Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)
View attachment 3148683View attachment 3148684View attachment 3148685View attachment 3148687View attachment 3148688View attachment 3149454
Wewe na wanzako si huwa mnajigamba kwa kumuua Dkt Magufuli, yaani ni kama Nape ambavyo huwa anatembea kifua mbele akijua Dkt Magufuli kamuua na hakuna wa kumfanya kitu hahahaTukimuua? Mi na nani? Kufa ahadi kwa kila mtu