Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Aiseeee raha ya huku mlipuane baada ya hapo kila mtu atajua limits zake.......

Ukicheka cheka na watu watajifanya kukujua undani wakati hawana lolote.......... wengine watakuchekeq kumbe ndio namba one kukusema ovyoooo....

Well said lolest
 
Na mie nahamu niusikie maana unaonekanika ni mtamu huo....lol.Halafu ujue bado nakudai keki uliyoniahidi

Hahaaaa huu naupangia mahesabu ya pesa ujue...

Mjini kigumu kizazi cha wahongaji nacho siku hizi hata hakipo lol... hivi keki hukupata subiri ijumaa hii tena this time ni ya kwangu kabisaaa
 
Yaliopita si ndwele my dia hayo ya jana tuachane nayo.Tuongelee ni lini tutaenda kupata lunch mgahawani?

hahahaha mwambie Rogie atupeleke mgahawa wenye hadhi bhana au ndo shem bahili
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa huu naupangia mahesabu ya pesa ujue...

Mjini kigumu kizazi cha wahongaji nacho siku hizi hata hakipo lol... hivi keki hukupata subiri ijumaa hii tena this time ni ya kwangu kabisaaa

Hahahaha huo ubuyu kweli utakuwa si wa kawaida.Ok poa naisubiria hiyo ijumaa maana last time sikupata keki
 

hongera zake wasanii wengine waige
 
Acha wivu! Unaposema mgahawa wa walevi unamaanisha walevi hawana hela!?
Kwa jide kuna nini cha maana pale,mbona wanajaa watu wa vipato vyote!

mmh jamani mchawi tumseme ila sifa ya kupaa na ungo tumpe! bidada kajitahidi sana kwani mastaa wangapi tunawaona wanajifanya wanapesa wanashindana kukodi magari hata magenge ya bamia hawana! big up kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…