Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Picha: Huu ndio "MGAHAWA" mpya wa Ray C

Aiseeee raha ya huku mlipuane baada ya hapo kila mtu atajua limits zake.......

Ukicheka cheka na watu watajifanya kukujua undani wakati hawana lolote.......... wengine watakuchekeq kumbe ndio namba one kukusema ovyoooo....

Well said lolest
 
Na mie nahamu niusikie maana unaonekanika ni mtamu huo....lol.Halafu ujue bado nakudai keki uliyoniahidi

Hahaaaa huu naupangia mahesabu ya pesa ujue...

Mjini kigumu kizazi cha wahongaji nacho siku hizi hata hakipo lol... hivi keki hukupata subiri ijumaa hii tena this time ni ya kwangu kabisaaa
 
Hahaaaa huu naupangia mahesabu ya pesa ujue...

Mjini kigumu kizazi cha wahongaji nacho siku hizi hata hakipo lol... hivi keki hukupata subiri ijumaa hii tena this time ni ya kwangu kabisaaa

Hahahaha huo ubuyu kweli utakuwa si wa kawaida.Ok poa naisubiria hiyo ijumaa maana last time sikupata keki
 
Kupitia Instagram ya Ray C ameandika: Taasisi ya Ray C Foundation iliyo chini ya muimbaji mkongwe, Ray C imefanikiwa kuongeza mradi mpya wa mgahawa ambao utatoa fursa ya ajira kwa vijana waliojikomboa kutoka kwenye matumizi ya madawa ya kulevya . Matunda ya Ray C Foundation, Namshukuru Mungu kwa kuendelea kutubariki , kupitia foundation yetu tumeanza kufungua miradi mbalimbali ili kuwawezesha vijana walioamua kubadilika na kuachana na dawa za kulevya kupata ajira ili waweze kuendesha maisha.

Kwa kuanza Ray C FOUNDATION imefungua mgahawa nje ya hospitali ya Mwananyamala ili kuwawezesha wagonjwa na wauguzi waweze kupata chakula cha kila aina na kitamu,mgahawa Wetu una chakula cha kila aina na tunachukua oda za harusi, kitchen party ! msiba ,birthday , mikutano nk .

Menu yetu pilau Kuku ,wali Kuku ,wali nyama, pilau Kuku , pilau Samaki,ugali Samaki ,tambi na nyama ya kusaga ,macaroni , beef burger , Shawarma,sambusa ,Bagia za kunde ,chapati ,ugali wa muogo, kisamvu,bamia , mlenda,nyama chomaa, mbuzi choma , ndizi choma ,urojo, ndizi bukoba / mshale,vitumbua ,juice ya miwa ,juice ya karoti, tikiti ,juice ya avocado, .juice ya ukwaju, juice ya mango !!!chocolate cake,cake ya zabibu kavu ,chapati za maji etc agiza chochote utaletewa hadi mlangoni pia tunafanya delivery nyumbani , maofisini na mikutanoni .

hongera zake wasanii wengine waige
 
Acha wivu! Unaposema mgahawa wa walevi unamaanisha walevi hawana hela!?
Kwa jide kuna nini cha maana pale,mbona wanajaa watu wa vipato vyote!

mmh jamani mchawi tumseme ila sifa ya kupaa na ungo tumpe! bidada kajitahidi sana kwani mastaa wangapi tunawaona wanajifanya wanapesa wanashindana kukodi magari hata magenge ya bamia hawana! big up kwake
 
Back
Top Bottom