Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee raha ya huku mlipuane baada ya hapo kila mtu atajua limits zake.......
Ukicheka cheka na watu watajifanya kukujua undani wakati hawana lolote.......... wengine watakuchekeq kumbe ndio namba one kukusema ovyoooo....
nipe samare ya uzi kwanza maana kuna kilaza mtu mzima jana alinichefua hatari
warumi nina ubuyu wa huyu celebrity looh hatari sana.....
Na mie nahamu niusikie maana unaonekanika ni mtamu huo....lol.Halafu ujue bado nakudai keki uliyoniahidi
Yaliopita si ndwele my dia hayo ya jana tuachane nayo.Tuongelee ni lini tutaenda kupata lunch mgahawani?
Well said lolest
Hahaaaa huu naupangia mahesabu ya pesa ujue...
Mjini kigumu kizazi cha wahongaji nacho siku hizi hata hakipo lol... hivi keki hukupata subiri ijumaa hii tena this time ni ya kwangu kabisaaa
Mama kijacho upo lol.....
Nakumbukia thread ya Zinc watu hawafai.....
hahahaha mwambie Rogie atupeleke mgahawa wenye hadhi bhana au ndo shem bahili
Shem wako sijui hata yuko wapi?Sijamuona siku nyingi sana
aiseeee take care watamuiba mazima lol
Hahahaha may be tayari wameishamuiba.Ukimuona mwambie namuita........lol
hahaha na wewe katoe tangazo gazetin kama wakenya vile
meona eeeh
afu mbona picha ya bey siioni siku hizi lol
Kupitia Instagram ya Ray C ameandika: Taasisi ya Ray C Foundation iliyo chini ya muimbaji mkongwe, Ray C imefanikiwa kuongeza mradi mpya wa mgahawa ambao utatoa fursa ya ajira kwa vijana waliojikomboa kutoka kwenye matumizi ya madawa ya kulevya . Matunda ya Ray C Foundation, Namshukuru Mungu kwa kuendelea kutubariki , kupitia foundation yetu tumeanza kufungua miradi mbalimbali ili kuwawezesha vijana walioamua kubadilika na kuachana na dawa za kulevya kupata ajira ili waweze kuendesha maisha.
Kwa kuanza Ray C FOUNDATION imefungua mgahawa nje ya hospitali ya Mwananyamala ili kuwawezesha wagonjwa na wauguzi waweze kupata chakula cha kila aina na kitamu,mgahawa Wetu una chakula cha kila aina na tunachukua oda za harusi, kitchen party ! msiba ,birthday , mikutano nk .
Menu yetu pilau Kuku ,wali Kuku ,wali nyama, pilau Kuku , pilau Samaki,ugali Samaki ,tambi na nyama ya kusaga ,macaroni , beef burger , Shawarma,sambusa ,Bagia za kunde ,chapati ,ugali wa muogo, kisamvu,bamia , mlenda,nyama chomaa, mbuzi choma , ndizi choma ,urojo, ndizi bukoba / mshale,vitumbua ,juice ya miwa ,juice ya karoti, tikiti ,juice ya avocado, .juice ya ukwaju, juice ya mango !!!chocolate cake,cake ya zabibu kavu ,chapati za maji etc agiza chochote utaletewa hadi mlangoni pia tunafanya delivery nyumbani , maofisini na mikutanoni .
Jay Z kanipa ban la kuwasapika......., napataje tabu
Hhhhhhhaaaaaaa cha ndoa bibieee
Acha wivu! Unaposema mgahawa wa walevi unamaanisha walevi hawana hela!?
Kwa jide kuna nini cha maana pale,mbona wanajaa watu wa vipato vyote!