Picha: Huu ni mziki na outing za miaka hiyoo. Wazee wa zamani hii ni miaka ya 60s au 70s. 80s nilikuwa na ufahamu hazikuwepo hizi swagga.

Nimecheka sana hapo kunywa chai na viazi. Nyerere alikuwa Saddist sana hadi kwa watoto wake hakupenda kuwaona wanafuraha na maendeleo.
Hahahaha, Nyerere aliingizwa chaka kuhusu siasa za ujamaa, na matokeo yake ikawa mateso kwa raia wake. Na hii ilisababisha akoswe koswe kupinduliwa mara mbili, pia ilimvunjia heshima kinamna fulani. Sema ndo hivyo alikuwa "baba yetu". Kwahiyo akuna aliefikiria au anaefikiria kumvunjia heshima kutokana na madhila yale.
 
Namuona kwenye I'd avatar picha yako
 
kama wewe unavyoshindwa kununua kagari ka m3 unabaki kupauka na jua tu kiasi kwamba hata madem hupati unabaki kupiga puchu na sabuni ndio hivyo zinapanda wajukuu wako watakusimanga babu ulishindwa hata kununua kahaba kwa buku 30 na kagar ka kakuvimbia ka m3 siku hiyo ndio utajua babu yako kwa nini aliona masaki porini,na hapo hapo mjukuu wako sio atakutia kelbu utapigwa chuma 🔫ufe sababu hukuwa na faida,, kumbe hakujua tu samia alikaza😂😂😂😂
Gari M3 . Mkuu gari Gani hiyo au Ndio chai Ya Leo
 
upo kijiji gani unashangaa m3 wenzio wananunua hadi m1.5 chezea mikopo ww juzi jamaa kauza bmw kwa m7 na huez amini hakupata mteja ukishangaa ya mr bann utaona ya mshana tembea ujionee sio mnakaa sehem moja mnapitwa na vinono
 
Mkuu unanunua jini unajisifu?? Ukiniuzia jini ndio umenipga hivyo.. tafuta ist ya M3 kama utapata
upo kijiji gani unashangaa m3 wenzio wananunua hadi m1.5 chezea mikopo ww juzi jamaa kauza bmw kwa m7 na huez amini hakupata mteja ukishangaa ya mr bann utaona ya mshana tembea ujionee sio mnakaa sehem moja mnapitwa na vinono
Kwa kifupi magari yanayokunywa Sana Kwa kipindi hiki utayapata Sana pesa yako tu.

Ukweli ni kwamba high consuming car itakukostbzaidi ya bei uliyonunulia within a very short time, ukikamata 500,000 utajiona unapesa utaweka wese la kutosha... Au Lita 5 mara Kwa Mara na mwishoni utatembea na kidumu. Ukiona hivyo kwisha
 
Mlikuwa mnaishi maisha ya hovyo sana bila Internet, betting, Fa premier league, uefa champions league, Whatsapp, bila Pizza, burger name them all.

Na ndio nyie vijana wa miaka iyo mmefanya sasa hivi kizazi chetu tunaishi kwa dhiki shida na ufukara. mlikuwaa hamna vision na Mustaqabal kuandalia maisha bora ili na sisi tuendelee kuandalia maisha bora kizazi kijacho.

Mlikuwa mpompo tu kuendekeza anasa uchwara wakati vijana wengine wa wakati huo Singapore, Malaysia na South Korea walikuwa wanapiga mzigo na mikakati wakiangalia future ya kizazi kijacho na kweli walifanikiwa.

Nyie hadi leo mnatuacha tunaendeleakunya porini ambapo reli ya kisasa ya umeme inayogharimu matrilion ya mkopo SRG inakatiza.

Sasa mnatuletea mipicha na mivideo zenu humu chwara mkiendekeza anasa.

Bure kabisa mmetulostisha vibaya sana.

Nonsens!
 
Rubbish ppyuuu
 
Back
Top Bottom