Mlikuwa mnaishi maisha ya hovyo sana bila Internet, betting, Fa premier league, uefa champions league, Whatsapp, bila Pizza, burger name them all.
Na ndio nyie vijana wa miaka iyo mmefanya sasa hivi kizazi chetu tunaishi kwa dhiki shida na ufukara. mlikuwaa hamna vision na Mustaqabal kuandalia maisha bora ili na sisi tuendelee kuandalia maisha bora kizazi kijacho.
Mlikuwa mpompo tu kuendekeza anasa uchwara wakati vijana wengine wa wakati huo Singapore, Malaysia na South Korea walikuwa wanapiga mzigo na mikakati wakiangalia future ya kizazi kijacho na kweli walifanikiwa.
Nyie hadi leo mnatuacha tunaendeleakunya porini ambapo reli ya kisasa ya umeme inayogharimu matrilion ya mkopo SRG inakatiza.
Sasa mnatuletea mipicha na mivideo zenu humu chwara mkiendekeza anasa.
Bure kabisa mmetulostisha vibaya sana.