Picha: Huu ni mziki na outing za miaka hiyoo. Wazee wa zamani hii ni miaka ya 60s au 70s. 80s nilikuwa na ufahamu hazikuwepo hizi swagga.

Nimecheka sana hapo kunywa chai na viazi. Nyerere alikuwa Saddist sana hadi kwa watoto wake hakupenda kuwaona wanafuraha na maendeleo.
Hahahaha, Nyerere aliingizwa chaka kuhusu siasa za ujamaa, na matokeo yake ikawa mateso kwa raia wake. Na hii ilisababisha akoswe koswe kupinduliwa mara mbili, pia ilimvunjia heshima kinamna fulani. Sema ndo hivyo alikuwa "baba yetu". Kwahiyo akuna aliefikiria au anaefikiria kumvunjia heshima kutokana na madhila yale.
 
Namuona kwenye I'd avatar picha yako
 
Gari M3 . Mkuu gari Gani hiyo au Ndio chai Ya Leo
 
Gari M3 . Mkuu gari Gani hiyo au Ndio chai Ya Leo
upo kijiji gani unashangaa m3 wenzio wananunua hadi m1.5 chezea mikopo ww juzi jamaa kauza bmw kwa m7 na huez amini hakupata mteja ukishangaa ya mr bann utaona ya mshana tembea ujionee sio mnakaa sehem moja mnapitwa na vinono
 
Mkuu unanunua jini unajisifu?? Ukiniuzia jini ndio umenipga hivyo.. tafuta ist ya M3 kama utapata
upo kijiji gani unashangaa m3 wenzio wananunua hadi m1.5 chezea mikopo ww juzi jamaa kauza bmw kwa m7 na huez amini hakupata mteja ukishangaa ya mr bann utaona ya mshana tembea ujionee sio mnakaa sehem moja mnapitwa na vinono
Kwa kifupi magari yanayokunywa Sana Kwa kipindi hiki utayapata Sana pesa yako tu.

Ukweli ni kwamba high consuming car itakukostbzaidi ya bei uliyonunulia within a very short time, ukikamata 500,000 utajiona unapesa utaweka wese la kutosha... Au Lita 5 mara Kwa Mara na mwishoni utatembea na kidumu. Ukiona hivyo kwisha
 
Nonsens!
 
Rubbish ppyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…