Wewe tunakujua ni Tumbili!! Acha kujipigia debe Lofa wewe
Sasa kama Mimi ni Kafulila ya nini kumuweka mtu kama Mwakyembe mwenye PHD, Shaka Hamdu Shaka Katibu Mwenezi Mstaafu theni Mimi katikati ya hawa magwiji tumia akili pimbi wewe😂
 
Hapo mwenye ubavu wa kushawishi ni kafulila hao wengine afadhari ya nchimbi
Hilo andiko atakuwa kaleta kafulila anapenda sana kujinadi mitandaoni badala ya kuchapa kazi mamlaka zimuone .

Kifupi cheo cha katibu mkuu wa chama tawala ni cheo cha wavaa suti vyeo vikubwa wajuao chama ndani nje na serikali ndani nje

Sifa hizo kafulila hana
 
Watatoa hoja gani kuitetea Ccm ?ccm imeoza
 
Labda Dr. Bashiru
 
Mbona hao wote matumbili
 
Kafulila wanaomtaka taja kama mtu anayejua kujenga hoja vizuri
 
Martine shigela atakuwa katibu mkuu.
HIYO NAFASI NI YA COMRADE MARTIN SHIGELA TOKA MDA SEMA KUNA KIGIZA FLANI HIVI ILA KITAPAMBAZUKA NA COMRADE SHIGELA ATASHIKA HIYO NAFASI MTU WA CHAMA YULE NA ANAKIJUA SANA KAMA ALIVYOMTANGULIZI WAKE NCHIMBI
 
Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani.
Sifa hii wanaye kweli.
 

..mmojawao ni sho*ga.

..katika top three ya Ccm kutakuwa na masho*ga wawili.
 
Weka takataka zote, bado haitasaidia kitu.
Aliyepigwa "kikofi kidogo"
Neppy Nauye
Hata Nchemba mweke humo humo
Popole, n.k..

Zote hizo ni takataka tupu
 
Weka takataka zote, bado haitasaidia kitu.
Aliyepigwa "kikofi kidogo"
Neppy Nauye
Hata Nchemba mweke humo humo
Popole, n.k..

Zote hizo ni takataka tupu
Ngoja tuone ujio wa haya majembe
 
Hapo mwenye ubavu wa kushawishi ni kafulila hao wengine afadhari ya nchimbi

NB CCM haihitaji katibu mkuu kushinda uchaguzi hapo anatafutwa mtu asiyetishia maslahi ya mwenyekiti kwenye mbio za uraisi
Maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…