Kafulila na Shaka wako sawa
 
Atakae zuia wizi wa kidemokrasia na utoaji wa haki ndo Mungu atupatie alie nje ya hili laana kuu na itue.
 
Hakuna mtu nayeweza kupambana na hoja za upinzani kwasababu hoja zao nyingi zina mantiki, na chama tawala hawawezi jadili hoja za namna hiyo.
Wapinzani ndio watu gani nchi hii?!
Au Hawa wanaohamahama na kubadili vyama kila siku ndio wanaoitwa wapinzani?!
 
Pole pole
 
Chama mbona kina watu smart sana kuliko hao.Ikishindikana dkt Bashiru anatosha kabisa hapo.
Watu smart!!??
CCM ni "smartness" ni mbingu na ardhi.
Huwezi kuwa smart halafu ukawa CCM.
Haiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…