Tena wapinzani wake wa CCM ni wabaya zaidiKwani wapinzani wa Bashite ni chadema pekee? Acha kukariri hivyo, ndani ya CCM kuna wapinzani wengi wa Bashite kuliko chadema
Mimi na mume wangu sio weupe ila watoto wetu ni weupe peeee!!Nilikua sijuwi kumbe unaweza kuwa Mweusi na ukapata mtoto mweupe hivi[emoji344]
Huyo ndo mkuu wa mkoa wa watoto wa Da slaam.Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wakeπ
Kwakweli ni kazuri sanaMdogo wetu mzuri. Mungu amjalie afya njema Keegan
Mi mwenyewe naona ka vile kapigwa tafuMmmh! mbona kafanana na Diamond
Narudia tena kusema hii kauli ***Your the only Silver Medal in JF***Tena wapinzani wake wa CCM ni wabaya zaidi
Umeandika niniMungu hamsahdie kakuhe
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake[emoji120]
ili awakomeshe zaidi ...aongeze mwingineππππππMkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii.
Kitendo cha kupost mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii kimetafasiriwa ni kama kuwananga wote waliokuwa wakimtusi kwamba hawezi kuzalisha.
Ikumbukwe kuwa wakati Paul Makonda anapitia kipindi kigumu cha kutopata mtoto kwa miaka 7 ndani ya ndoa kuna kundi la watu likiongozwa na Gwajima, Mange Kimambi ,wauza madawa ya kulevya na Chadema kwa ujumla walikuwa kifua mbele wakifurahia hali hiyo ya Makonda kukosa mtoto !
Yani badala ya kumuombea wao ndiyo wakawa wanashangilia akome kabisa asiyezaa huyu !! .
Mungu si athumani leo hicho kikundi cha watu ndiyo wanapata wakati mgumu na aibu ya kulike picha za mtoto wa Makonda mitandaoni.
Atakua wa mwarabu fighter naonaMbona kama ni mwarabu huyu? Shunie umeonaje wewe