Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

uswahilini wanaitwa "watoto wa dawa" japo huyu ni mtoto wa dawa za kizungu haibidirishi ukweli kuwa ni mtoto wa dawa
 
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii.

Kitendo cha kupost mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii kimetafasiriwa ni kama kuwananga wote waliokuwa wakimtusi kwamba hawezi kuzalisha.
Ikumbukwe kuwa wakati Paul Makonda anapitia kipindi kigumu cha kutopata mtoto kwa miaka 7 ndani ya ndoa kuna kundi la watu likiongozwa na Gwajima, Mange Kimambi ,wauza madawa ya kulevya na Chadema kwa ujumla walikuwa kifua mbele wakifurahia hali hiyo ya Makonda kukosa mtoto !
Yani badala ya kumuombea wao ndiyo wakawa wanashangilia akome kabisa asiyezaa huyu !! .

Mungu si athumani leo hicho kikundi cha watu ndiyo wanapata wakati mgumu na aibu ya kulike picha za mtoto wa Makonda mitandaoni.
ili awakomeshe zaidi ...aongeze mwingine😛😛😛😛😛😛
 
Miaka7 ya ndoa?mtt m1?mtt mwenyewe ndo anamiezi5 hajafikisha?kweli kupanga ni kuchagua,walokua wanasema jogoo wake mzembe naweza kuamini kidogo maana kibongobongo umalize miaka miwl ya ndoa bila kua na tumbo utasemwa na mawifi mpk ujute
 
Back
Top Bottom