Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

Hongera sana Paul Makonda kwa kupata zawadi ya mtoto wa kiume. Kila mtoto ni zawadi nzuri ila pia ni mtu ambae Mungu hutuamini kumpitisha katika familia ili tumlee na kumpa malezi bora, elimu na ku-enhance maadili ili wawe viongozi wa familia kesho, wawe viongozi wa dini, wawe viongozi kwenye siasa, wawe viongozi kwenye jamii kwa lengo la kuiathiri jamii kwa mambo chanya.

Hongera tena familia ya Paul na Maria Makonda kwa kutuletea Watanzania zawadi njema ya mwanaume aitwae Keagan
 
Nasikia wewe ndiye mama wa huyo mtoto
 
Hongera sana mheshimiwa Paul Makonda.

Very cute and charming boy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…