Kuna mtoto mbaya?Mtoto mzuri..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtoto mbaya?Mtoto mzuri..
GSM au?Atakua wa mwarabu fighter naona
Mume wako akawapime DNA maana mama yao simuaminiMimi na mume wangu sio weupe ila watoto wetu ni weupe peeee!!
Afu mtoto sura ni baba yake mtupu.
Hongera sana Paul Makonda kwa kupata zawadi ya mtoto wa kiume. Kila mtoto ni zawadi nzuri ila pia ni mtu ambae Mungu hutuamini kumpitisha katika familia ili tumlee na kumpa malezi bora, elimu na ku-enhance maadili ili wawe viongozi wa familia kesho, wawe viongozi wa dini, wawe viongozi kwenye siasa, wawe viongozi kwenye jamii kwa lengo la kuiathiri jamii kwa mambo chanya.Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake🙏
Nasikia wewe ndiye mama wa huyo mtotoMkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii.
Kitendo cha kupost mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii kimetafasiriwa ni kama kuwananga wote waliokuwa wakimtusi kwamba hawezi kuzalisha.
Ikumbukwe kuwa wakati Paul Makonda anapitia kipindi kigumu cha kutopata mtoto kwa miaka 7 ndani ya ndoa kuna kundi la watu likiongozwa na Gwajima, Mange Kimambi ,wauza madawa ya kulevya na Chadema kwa ujumla walikuwa kifua mbele wakifurahia hali hiyo ya Makonda kukosa mtoto !
Yani badala ya kumuombea wao ndiyo wakawa wanashangilia akome kabisa asiyezaa huyu !! .
Mungu si athumani leo hicho kikundi cha watu ndiyo wanapata wakati mgumu na aibu ya kulike picha za mtoto wa Makonda mitandaoni.
KWANIN MKUU INA MAANA ALICHAGUA MBEGU KIPINDI KILE YUKO KSA NYANI NGABUMtoto siyo wake 100%
Kwahiyo?Mtoto siyo wake 100%