Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu na fani yake, kiufupi hapo hatuwezi kujua kitu, ramani ya ndani ndo kila kitu!Muhimu si nikujua kwamba nyumba ni ya vyumba viliwili, sitting room labda na public toilet...kuna Cha ziada?
Bro 16 milioni haitoshi. Sisi ndio wenye mji.Hii ramani kali sana, nimeipenda ni nyumba ya vyumba viwili, nimeitoa huko Twitter kwa mnigeria, mwenyewe anadai anaweza kukujengea nyumba kama hiyo ya kwa Naira milioni 5 tu ambapo hiyo ni sawa na milioni 15 na laki 9 kwa pesa za kibongo (15,907,496.08)
Yule jamaa kama ni kweli anaweza kujenga hiyo nyumba kwa kiasi hicho Cha pesa basi atapata wateja wengi sana maana nimeona watu wengi wamemuomba mawasiliano yake japo wapo watu walio doubt kwamba ni japo lisilowezekana.
Halafu pia kwenye Comment Section kupitia hiyo tweet yake nimeona jamaa Kasema kwao mfuko mmoja wa cement ni Naira 8,400 ambayo ni sawa na Tsh 26,700, hiyo ni gharama kubwa sana ukilinganisha na bei ya huku kwetu ambayo inachezea kwenye 16,500 hadi 18,000 je kwa fact hiyo inawezekana kushusha mjengo kama huo kwa milioni 16 pekee
Eniwei, Mimi nimeipenda hiyo ramani hata kama itanicost milioni 50 fresh tu ilimradi kitu kitoke kama kilivyochorwa hapo japokuwa jamaa kasema hiyo design ni best suitable for 2 bedroom ila Binafsi ningependa iwe 3 bedrooms hata kwa ku convert hiyo Car garage hiyo hapo chini to another room
Kuna Eng hapa Bongo anaweza modify hiyo ramani iwe 3 bedrooms instead of 2 bedrooms?View attachment 2683359
Hapana, haitoshi. Yaani nikiangalia hiyo slab na nguzo tu...basi hapo pagumuNdani jamaa kagoma kuonesha isipokuwa kwa wale ambao wapo tayari kufanya nae kazi
Hiyo garage ipo chini ya room, ukibadilisha itakua ni room juu ya room, gharama ni zile zile. Otherwise hiyo room ya juu ije chini na juu pasiwe na kitu, hapo mil16 yako unajenga na kupauaTutoe hiyo Garage tuweke room basi, sema jingine
Mimi siyo mkadiria majengo lakini kama ni huko ulikopataja hutoboi,labda kama utakuwa na wewe siku moja moja unachukua nafasi ya vibarua ili hela zisikutoke nyingi tofauti na hivyo hapana.Inajengwa Dar (Mbweni)
Hiyo ya kuwa Scammers ni wao, sisi tunachotaka kujua ni kwamba inawezekana au haiwezekani?Wanaijeria wengi scammers usiende inbox utapigwa mpaka uchakae.
Ukubwa wa vyumba vya kawaida tu, na materials pia ya standard inaweza isiwe high quality lakini pia iswe low qualityMkuu hiyo ni picha tu. Hujapewa dimensions ili kujua size za vitu mbali mbali. Hujaambiwa materials gani yatatumika.
Hivi huwezi kujiuliza hayo maswali?
Aah basi tuache tu kama ilivyo, room ya juu ikija chini Design yote itabadilikaHiyo garage ipo chini ya room, ukibadilisha itakua ni room juu ya room, gharama ni zile zile. Otherwise hiyo room ya juu ije chini na juu pasiwe na kitu, hapo mil16 yako unajenga na kupaua
Makadirio ni kwa kuangalia ramani ya nyumba nzima na vipimo sio picha ya upande mmojaUkubwa wa kawaida, I mean rooms zetu za kitanzania ambayo unaweza kuweka kitanda na kabati la nguo
Mkuu amini kwamba jamaa amekuokoa....tengua kauli...Akili uliyotumia kufanya judgement hapa ni sawa na Ile ya kuamini kwamba Kila Kitu fake kinatoka China.
Naona unapepelea sana, Hadi nahisi huenda wew ndiye mnufaika wa hiyo project. Samahani!Kwani hiyo picha hadi imekaa hivyo si imetokana na ramani
Sasa nikichukua hiyo nafasi ya kibarua ambaye analipwa elfu 10 kwa siku ndio nitakuwa nimeokoa nini?Mimi siyo mkadiria majengo lakini kama ni huko ulikopataja hutoboi,labda kama utakuwa na wewe siku moja moja unachukua nafasi ya vibarua ili hela zisikutoke nyingi tofauti na hivyo hapana.