Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

wamesema wanaua raia wa kigeni kvtuma ujumbe kuwa israel sio sehemu salama kwa hyo watu wasiende [/QUOTE]wamesema wanaua raia wa kigeni kvtuma ujumbe kuwa israel sio sehemu salama kwa hyo watu wasiende huko.
 
Hvii inakuwaje mtu unaua mwenzio kikatili hivi au kwa sababu mweusi ?hebu fatilien kwa kina huyo kijana ni nani najuta sana kuangalia hiyo video halaf et wanasema Mungu Mkubwa?Mungu huyu huyu anaekataa kuua laa!
Wamemsurubu yesu, mwana wa Mungu itakuwa wewe binadamu wa kawaida.
 
Kwa taarifa yako, kwa sababu za Usalama, Israel hawapokei askari ambao siyo damu ya Israel. Inawezekana huyo ni kati ya waisraeli wazaliwa wa Ethiopia na ana kitambulisho cha uraia wa israel.
 
Tofautisha kati ya Raia na Hamas
Mkuu kinachoharibu zaidi ni hiyo picha ya mtu aliyevaa magwanda ikidaiwa ni joshua hapa ndo watu watapata uhalali kwanini mnatumia nguvu nyingi kutetea.

Unaweza kuwa na hoja ila hio picha ya mtu aliyevaa gwanda hata mtoto anaona ni ardhi na mbingu.
 
Umeshindwa kung'amua kwamba hizo picha 2 moja wakimuua na hiyo nyingine wako pamona ni watu tofauti kabisa.
Huyu mleta mada atakuwa mdini. Kwenye chupi ya kijeshi hapo sawa, ila kingine hao wauaji wanaweza wakawa wayahudi wenyewe. Ila kilichomponza kabisa Joshua ni Nguo ya kijeshi
 
Dini mnaisingizia sana...
Hao Waisraeli mnaowatetea wenyewe hawako kwenye dini...
70% wanamsubiria Yesu aje kwa mara ya kwanza🤣
Waislam wanaowaona ni wavamizi hapo Israel wako 18%,
Na wao Ndugu zao wenyewe huko wako 2% tu
 
Mleta mada hebu usiendelee kuthibitisha upumbavu wa ndugu zetu katika imani acha sio lazima useme uongo kutetea watu ambao hata ww wakikukuta hawakuachi salama ww ni kafiri tu kwa wenye dini yao acha mihemko huna unaloweza fanya wakakuona wa maana
 
JOshua alikwenda Israel 28/9/2023 kujifunza Kilimo Kwa Vitendo. Wanaofahamu hiyo Nchi wanasema Ukanda huo ni mpaka wa Israel na Gaza kama 2km panaitwa Kibutuz. Huko ndiko kuna Mashamba ya kisasa ya Kilimo. Ilikuwa zamu ya Joshua na Clemence hiyo Siku ya Jumapili kwenda mafunzo. Haingii akilini wiki mbili tuu Kutoka kuwa Mwanafunzi wa SUA na kuwa Mwanajeshi wa IDF. Kwa hiyo SUA ni agent wa IDF?? Hawa ni Watanzania Wenzetu walikuwa Ugenini Masomoni hawakuwa na Baya na yeyote. Waarabu wakawaua bila Huruma. Hiyo Nguo ya Ndani inawezekana alinunua huku Tanzania toka China. Zipo madukani kibao Nguo hizo za Rangi ya jeshi.
 
Waliomuua gadafi walijirekodi wenyewe kwa kutumia simu zao na kisha kusambaza picha na video, wafuasi wa mnyanzi mungu hawajawai kuwa na akili mkuu,
Tatizo la elimu yetu ya kukariri? Nauliza hivi kwa sababu situation hazifanani hata kidogo.
 
Hili la kusema alikuwa mwanajeshi ni propaganda mfu. Pia kuwa na underwear yenye rangi kama kombati za jeshi nalo ni ujinga kwani zipo madukani kibao. Hata hivyo, hizo clips bado zina utata. Ni nani ameamua kuzi-publish kwenye social media wakati zinaonyesha unyama mkubwa kiasi hicho kwa mtu asiye na hatia na lengo lake ni nini? Zilipatikana namna gani na ni nani alizirekodi?
 
Hizi za kubumba. Nitumie picha yako nikuweke hapo.
 
mkuu hamas wametoa tamko kuwa wanaua raia wa kigen kvtuma ujumbe kuwa israel sio sehemu salama ya kwenda. ambacho huelewi nini we mvaa kobaz
 
Umeandika ujinga ujinga HATA ujui Joshua alifata nini Kule,alienda kujifunza mambo ya KILIMO sasa siku nyingine uache kukurupuka
Inawezekana alikwenda kujifunza kilimo ila kutokana na tamaa ya kutaka kuwa Myahudi na kuishi kule akajiunga na jeshi hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…